Msimu huu Chelsea ndio timu ya kupatia hela , ukiweka Chelsea afumuliwe 3+ unauhakika wakula

Leo vs liver 3+ inatoa

Next week vs Leicester 3+ inatoa

Beki si Zuma,na kipa ni kepa
 
Wanaoangalia mechi moja ni Arsenal, hata Liverpool walikuwa hivyo wakaswitch plan

Sisi Chelsea tunaangalia malengo na kuswitch tacktics ili kufikia malengo ya angalau kikombe kimoja kila mwaka
Aresenal shamba la bibi, no plan, no tacktics, wanajiendea tu hata wakiwa na kikosi bora
 
Toka lini mtu akapigana kutoka juu kwenda chini? Unahitaji kofi la kichwa kurestore settings za kichwa.

Hiyo miaka 100 itawachukua nyie kuja kutufikia sisi. Hamuoni aibu nyie
Piga porojo tu , baadae jion nitawarudia humu

Ngoja nikaweke jamvi Chelsea apigwe 3+

Nashukuru juzi mlinipa hela ,maana nilikwambia mtapigwa 3+
 
Wanaoangalia mechi moja ni Arsenal, hata Liverpool walikuwa hivyo wakaswitch plan

Sisi Chelsea tunaangalia malengo na kuswitch tacktics ili kufikia malengo ya angalau kikombe kimoja kila mwaka
Aresenal shamba la bibi, no plan, no tacktics, wanajiendea tu hata wakiwa na kikosi bora
Huu ndio muda mzuri wakupiga porojo maana baadae hutaonekana humu, ukirud wiki end kuna Leicester unabamizwa tena

Hivo jitahid kupiga porojo kwa nguvu zote
 
Wachezaji wafuatao wakiingia kikosi cha Arsenal wanacheza first eleven ya Arsenal.
1. Kepa
2. Emerson
3. Azipillicueta
4. Rudiger
5. Ngolo Kante
6. Joginho

Sasa wewe baki ukipanua domo hilo
Twende taratibu

Kipa Kepa ,tunaijua kabisa aerial ball hawez, juzi na man u wamepiga mashuti 5, manne 4, goli

Twende beki una Teja mchomoa betri Zuma, na mkabia macho Christensen .

Kiungo mzuri unaye mmoja tu Kante ambaye Hospitali yameanza kuwa makao yake

Forward sasa bora Everton. Au Watford , una jirud na Abraham kinana

Kwa kikosi hiki tayari ww unatakiwa ugambanie nafas ya 10 ,ukileta mchezo nafas ya 15 unamaliza ,maana. . hata westaham ana kikosi kizuri kuliko nyie
 
Wachezaji wafuatao wakiingia kikosi cha Arsenal wanacheza first eleven ya Arsenal.
1. Kepa
2. Emerson
3. Azipillicueta
4. Rudiger
5. Ngolo Kante
6. Joginho

Sasa wewe baki ukipanua domo hilo
Mkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?

Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .

Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
 
Nyie simlikuwa na kazi ya kuja kupiga porojo kuwa tuna £40m tutasajiri nini ,mkaleta kelele kibao mnasahau mna ka kikosi kama ka Gwambina ,

Leo 3+

Next 3+
 
Mkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?

Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .

Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
Hahahahahahahahah
 
Kikosi cha Arsenal kiko forward huku kwingine ni mikate
 
Huyu Kepa ndo alikuwa golini wakati nakupiga vinne vya heshima pale Baku. Hivyo vinne ndo vimekufanya umeacha jukwaa lako kila siku uko hapa
Mkuu unachekesha sana hadi kepa pazia umemuweka?

Hapo anayecheza ni Kante tena agombanie namba , na rudiger agombanie namba kwa bwana mdogo Holding, hao wengine watasubir sana .

Msimu huu mtaimba haleluya ,niliwaahid nitaweka kambi humu mwanzo mwisho kwa ka kikosi kenu hako ,nyie si mna kelele
 
Huyu Kepa ndo alikuwa golini wakati nakupiga vinne vya heshima pale Baku. Hivyo vinne ndo vimekufanya umeacha jukwaa lako kila siku uko hapa
Sio kila siku jumapili , usichokijua timu nying zilikuwa hazipand sana kwakuwa mlikuwa na hazard na ukuta mzur wa luiz, ndio maana mwanzo aliokotaokota cleansheet ,

Msimu huu siumeona toka preseason mnatoa 3+ tu

Mm nashukuru mnanipa hela na leo nasema 3+
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom