Mwaka huu kujipiga ban hazitaisha humu , eti beki Zuma hahahahahahahhahah
AROON na hamis77 ni mtu mmoja maana utoto mwingi alafu miandiko inafanana. Maneno mengi lakini pointless. Baada ya EUROPA mbona ulipoteana? Arsenal imefanya nn tangu uanze kuishabikia?

Maisha yenu ni yale yale. Mnaanza kwa vikelele vya kitoto ila kabla ya mwaka mpya hata vibanda umiza mnaancha kwenda kuangalia mechi
 
Naona bado una hangover za kipigo cha 4-0 juzi kwahiyo endelea kuweweseka maana Leo unaeekwa nyingine 4.
 
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
Ukisikia vimbwanga ndio hivi ,jifunze kutumia neno HADHI kisha ulete sarakasi za Samaki nchi kavu .
 
Chelsea kwa ka kikosi kenu haka ,msimu huu kuna mechi mtakuja kula 7-0, 10-0

Siku zote huwa nasema muda ni rafiki mzuri ,

Nilipowaambieni mtakula 3+ mliniona nadanganya ,haya Siku si nyingi mtachezea 7-0, au 10-0 ,

Mjumbe hauwawi
 
Una mbwembwe nyingi ndg. Inaonekana unaichukulia poa sana Chelsea.
 
Una mbwembwe nyingi ndg. Inaonekana unaichukulia poa sana Chelsea.
Twende taratibu

Kipa Kepa ,tunaijua kabisa aerial ball hawez, juzi na man u wamepiga mashuti 5, manne 4, goli

Twende beki una Teja mchomoa betri Zuma, na mkabia macho Christensen .

Kiungo mzuri unaye mmoja tu Kante ambaye Hospitali yameanza kuwa makao yake

Forward sasa bora Everton. Au Watford , una jirud na Abraham kinana

Kwa kikosi hiki tayari ww unatakiwa ugambanie nafas ya 10 ,ukileta mchezo nafas ya 15 unamaliza ,maana. . hata westaham ana kikosi kizuri kuliko nyie
 
Huu ndio muda wakupiga porojo zenu humu hamuutumii vzr , baadae mnajipiga ban had wiki end , msichokijua wiki ijayo pia mnalambwa tena.

Mwaka huu sijui mtamfunga nani
 
Kumbe wiki ijayo mpo na Leicester city ,mama yangu mnakufa tena mbele ya Tielsman, Madison , Praet ,vardy , kwa kipa kepa ,
Mtapigwa 3+
 
Hiyo super cup Leo unabondwa, ww inakuhitaji miaka 100 ufike hadhi na level za Arsenal , hivi unajua hata astonvilla hujamfikia kwa hadhi? Na msimu huu wanakushusha daraja
Toka lini mtu akapigana kutoka juu kwenda chini? Unahitaji kofi la kichwa kurestore settings za kichwa.

Hiyo miaka 100 itawachukua nyie kuja kutufikia sisi. Hamuoni aibu nyie
 
153 Reactions
Reply
Back
Top Bottom