Kilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tuUnapayuka Chelsea ni kakilabu ka pombe
Umenyukwa 4 kavu bado hujakauka ,unapata WAP nguvu ya kuropoka
Msimu huu tunawashusha daraja
ati unasema?Man U hana zaidi ya droo. Mimi nimejitokeza wazi tofauti na wengine hawa wanaozunguka
bado upo au ushatoka?Jamani Man U apigwe za kutosha
Leo nipo Chelsea
tunakusikilizaGemu itakuwa nyeupe sana uwakika wa kutoboa upo.
Ukimaliza kupiga porojo ya kutaja majina utadhani upo PlayStation ,hesabu tutafanya mwisho wa msimu ,mwaka 2018/2019 ulitoweka msituni ukawa unatupa tupa lawama kwa kila mchezaji wa team yako ya ajabu ajabuWasipojiangalia kwa timu zilivyojipanga wanashuka kweli
Wewe Watford winger wana Ismair sarr , forward wana welbeck na Deney, kiungo wana deocure na kina Pereira,
Everton wana Trio safi IWOBI-RICHARLSON-KEANE MOISE
bado kina wolves ,Leicester
Wasipokaa sawa na Ban waliyoipata watajikuta mwezi wa 4 wanapigania wasishuke daraja
Hawez taka maana si lengo.Ndio maana nikasema MKITAKA BISHENI... rukhsa kubisha mkuu..
Pole sana kwa kipigo heavyKilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tu
Kilabu cha pombe kinashiriki Champions League ?Kilabu cha pombe bingwa wa Europa kwa kumfunga Arsenal 4-1 ,wewe hauna kitu unajua kwenye football ,nimekwambia kashabikie mapishi unabwatabwata tu hapa nakushushia vyuma ,ongea kwa FACT uonekane mwenye akili sio ,uropokaji humu jukwaani tunakuona zumbukuku tu
Pole sana kwa kipigo heavyView attachment 1179216
Mkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.Tar 14 mnapewa ubatizo mwingine na wababe wa Ulaya kwenye Super Cup.
Mkuu hali ya sasa mashabiki wanaielewa, mimi naamini mashabiki wengi watamuelewa Lampard tu labda kwa ule mwaka unaofuataMkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.
Tatizo kubwa la Chelsea hawataki kuvumilia makocha na ndicho kinacho turudisha nyuma kila msimu. Ila kama atavumiliwa Lampard balaa lake litakua siyo dogo.
Mkuu sisi tumejiandaa na matokeo yoyote tutakayopata siku hiyo kwa sababu kwa sasa huwezi kumlaumu mtu kwa kinachoendelea kutokea. Ila balaa linakuja kwa sababu kwa minimum resources na muda mfupi aliokaa na timu cheki mpira tunaocheza.
Tatizo kubwa la Chelsea hawataki kuvumilia makocha na ndicho kinacho turudisha nyuma kila msimu. Ila kama atavumiliwa Lampard balaa lake litakua siyo dogo.