Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Aisee umefufuka kabla ya mtanange kuanza rasmi .... .... usikimbie tu tena ... ....

Ha ha ha ha.!
Nimefufuka mkuu nitakuwapo kijiweni rasmi.

Chacha pale mbele mtamtoa nani kafara? Mambo yote next week chijui nani atapanga timu.

Bundi haondoki hapa, mpaka tufikishe decade!

barred-owl.jpg

Bundi keshaweka maskani tayari

khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee lakini mmezoea last time ilikuwa miaka 50 chacha mjitahidi basi. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee

Wakuu,

Shughuli inaanza weekend hii na Stoke City - ARE WE READY WITHOUT MODRIC at the heart of midfield?

Lets us see what we have at Midfield positions currently,

Frank Lampard - Mkongwe, Mzoefu - chini ya AVB anaweza kuongoza kiungo cha chelsea msimu huu- anaonekana kuwa fit sana.
Remires - Ana miaka 23, ana pumzi sana na kasi - anakaba na anaweza kusaidia ushambuliaji.
Mikel Obi - Ana miaka 24, Ana pumzi, ni kiungo mkabaji - msimu uliopita hakufanya vizuri sana, so far yupo fit hasa pre season zinavyoendelea.
Josh McEachran - Kinda aliyelelewa Chelsea - anaonekana kuwa na kipaji cha pekee. anaweza ku break kwenye first team msimu huu.
Yosh Benayoun - Mzoefu, Mid iliyokamilika - ana kasi na anachezesha washambuliaji - so far yupo fit - tegemeo mwaka huu
Kakuta - Kijana mfaransa - anaonekana kuwa na kipaji cha pekee - kwa sasa yupo na timu ya taifa U20 ya ufaransa.
Oriol Romeu - Kijana mdogo kabisa kwa ki hispaniola - tumempata juzi tu toka barca, ni kiungo mchezeshaji na anaweza kuwa replacement ya
essien ambaye kaumia. Tunategemea combination nzuri hasa kwa striker mhispania mwenzie Toreess.

Ni kweli tunahitaji Modric kuongeza creativity kwenye sehemu ya kiungo, lakini kama hatutapata signature yake nafikiri ni muda wa vijana hawa 5 waungane na Lampard, Benayoun Kurudisha Kombe letu darajani. Pia tumebahatika kuwa na wingers ambao ni wakabaji na wanaweza kucheza kwenye midfield kama Malouda. Pia kuna baadhi ya games tumemwona Anelka akicheza nyuma ya Drogba wenye Diamond midfield. so bado chelsea ina option nyingi sana. YES WE ARE READY.

TORRES_1350424a.jpg

TORR OF BEAUTY ... Fernando Torres fires home against West Ham

Hilo ni goli pekee alilofunga Tor The res against West Ham ambao wameshuka daraja.

Tor the res cost £50 million

Played 18 matches

Scored 1 goal

Paid £180 000 a week

Chacha chichi mashabiki tinachubiri hii investment ya nguvu ianze kurudisha faida khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2018898-0D2483E000000578-905_634x487.jpg

Chacha chijui na huyu atakubaliwa kupanga timu,
maana Amanolo kausepa khe khe kheeeeeeeeee

Wakuu ngoma ndio hiyo naona hapa mambo siyo mswano kwa Tor the Res, Drog the Bar anapasha bench joto khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Ma-cowards wa Chelsick wanachungulia nimewaona kwa chati wanachubiri goli kwanza .... .... ...

Karibu uwaangalie wababe wa London. Vipi Gervinho ameshatoka polisi?

Kajitokeza baada ya kuchungulia kwa muda naona mnabebwa hapa khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi mnayo ya umafioso khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Arsenal ndio wanabebwa. Si uliona jana refa anajifanya hajaona ile stamp ya Song! Lakini akashindwa kuwabeba pale bondia Gervnho alipofanya vitu vyake, maana ilikuwa wazi mno mpaka hata kipofu Wenger kaona.

jiranii habari yakoo banaa... ndio nimefika.. hebu nipe habari huyu kijana # 7 mmetoa wapi... anajitahidi kimtindo

jiranii habari yakoo banaa... ndio nimefika.. hebu nipe habari huyu kijana # 7 mmetoa wapi... anajitahidi kimtindo

karibu jirani. huyo mwenye jezi #7 ni Ramires, m-Brazil tumemtoa Benfica. Utakuwa umemwona national timu labda.

That JT handball was a clear penalt......Ref kawabeba pale.......PIS-ANT....Upo??? Wapi MChungaji Masa?????????

That JT handball was a clear penalt......Ref kawabeba pale.......PIS-ANT....Upo??? Wapi MChungaji Masa?????????

Hawezi kukubali hapo hata ukitaka kukata mkono wake. Unajua hawa mashabiki walioanza kuona vikombe ukubwani baada ya Abraham O Vich kununua timu, yaani karibu miaka 30 na ushee hakuweza kuona kombe lolote ndio chababu wanaweweseka, Abraham akifa na timu imekufa ...... ...... ..... ..... ...... ...... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Watakubali tu mazee...Give them some tym waangalie Replay in Slow - Motion then watakubali kuwa pale wamebebwa......

Naona Anelka, Drogba na Ivanovic wanapasha.... Is this the end of Torres in this Game?????

That JT handball was a clear penalt......Ref kawabeba pale.......PIS-ANT....Upo??? Wapi MChungaji Masa?????????

Ile sio penalty mkuu, labda kama ushabiki....unajua niko fair, ingekuwa pen ningekuwa wa kwanza kusema

Huyu Torres kila akiguswa anaenda Chini then analalamika.... kama vipi akacheze Karata, Bao au Draft ambapo wachezaji hawagusani......

Ile sio penalty mkuu, labda kama ushabiki....unajua niko fair, ingekuwa pen ningekuwa wa kwanza kusema

Nope....Nope...Nope.... BIG NO hapo kwenye RED hasa kwa game za Chelsea......Kwa game za Arsenal n Man U. U r always Fare....

Watakubali tu mazee...Give them some tym waangalie Replay in Slow - Motion then watakubali kuwa pale wamebebwa......

Vipi Alex Song, amepona kupigwa adhabu kwa ile stamp refa alimwachia jana?

Similar Discussions

Back
Top Bottom