Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu
Sisi tuna uhakika Liverpool atambulia point moja tu kwa Chelsea. Manure na arsenal tutapita na point zote!!Hicho kikosi mnapigwa vizuri sana
This time nyinyi hamna Forward wa maana (Pedro Tia maji Tia maji, Willian we mwenyewe unamjua)
Nadhani mtamshinda Man Utd kama Mtadefence vizuri maana wale kuconcede magoli lazima. Kama team collective defence haitakuwa vizuri lazima mlie
Kuna forwards strikers na kuna forwards wingers/attacking midfielders sasa wewe unawazungumzia wa aina gani??
Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu
Sisi tuna uhakika Liverpool atambulia point moja tu kwa Chelsea. Manure na arsenal tutapita na point zote!!
Ngwaba, hakuna mtu kakataa asifunge magoli. ndio maana kimafumbo kabisa nikasema hata madefenders kama akina Ramos wanafunga magoliBefore 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
I partially agree with you ila hili la Masamila kumuita Willian ni Garasa/Garasha is too extremeBefore 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
Kwani winger huwa ni mfunga magoli? nimeeleza vizuri hapo juu, hata kama akifunga jukumu lake la msingi sio kufunga magoli. Hata Ramos amefunga magoli mengi kuliko kuliko mawinga wengi maarufu wa EPL wakati yeye ni defender tu
Before 2007 Winger hakuhesabiwa kuwa ni mfungaji (Ndiyomana Kina Beckham, Overmas na Ashley Young) walipendwa ingawa hawakuwa wafungaji hatari)!
Lakini baada ya kuibuka Mtu kama Arjen Robben na Ribery wakafanya Mapinduzi ya Wingers , Sasahivi Winger ni Mfungaji kimajukumu hasa!
Winger Cross umeshapitwa na Wakati kwani kupiga Cross sasahivi ni kazi ya FULLBACKS na sio winger tena.
Siku hizi Winger asiyefunga goli 20+ per season in all competitions huyo bado hajafikia vigezo vya Winger shindani. Refer Salah, Mane, Hazard, Mbappe, Neymar and co.
I partially agree with you ila hili la Masamila kumuita Willian ni Garasa/Garasha is too extreme
Winger bado anaweza kuwa winger mzuri with less goals and assists japo akifunga ni faida zaidi
Na ndio maana Willian pamoja na umuhimu wake, hatuwezi kumlinmganisha na hao uliowataja kwa sababu they have advantages ya kufunga magoli mengi na kutoa assists nyingi
Ngwaba, hakuna mtu kakataa asifunge magoli. ndio maana kimafumbo kabisa nikasema hata madefenders kama akina Ramos wanafunga magoli
Beki kukaba
Midfilders kusimamia play behavior ya pale katikati,
Wingers kupeleka krosi na kwenda deep kwenye eneo la opponent na
Strikers kufunga,
Hiyo ndio flow ya duties za kila position. Ila pamoja na hizo duties za msingi, wote wanatakiwa pia kufunga magoli hata kama sio duties zao za msingi
Huu ni uongo mkubwa katika watu waliokuwa wanaongea sana ni nyinyi ,ktk mwanzo wa msimu ulio pita na sariball yenu pamoja na kumrate joginho mpk mkafikia hatua ya kusema EPL mnaichukua nyinyi. Ila baada ya game kama 6 hiv joginho akaflop na kukongoroka kabisaaa
Na je unaweza kusema ni nani au ni mchambuzi gai aliwaexclude nyinyi kwenye top4 mwanzo wa msimu ulioisha???
Mkuu unatumia game hii kama kipimo?Kipimo Cha kwanzaa lampard Leo katoa sare