Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndo njia tuliyonayo msimu huu lakini pia yanaweza kuwa maandalizi kwa ajili ya Lampard.

Kwa kipindi hiki Sarri angetufaa zaidi kuliko kocha mwingine mpya japo piq Lampard siyo mbaya.
Lampard ni mzuri katika kumotivate wachezaji na atakuwa na power ya ku-control dress room. Anaifahamu klub kuliko mtu yoyote aliyepo kwa sasa Chelsea labda mmiliki , Zola na Gudicin na sauti yake itakuwa na nguvu kuliko mchezaji yeyote kutokana pia na ukweli kwamba anaheshimika kwenye klub.

Lampard anapenda mpira wa kushambulia na kunyanganya mpira kwa haraka ( kuwa aggressive)pale timu pinzani inapokuwa na mpira. Anawaamini vijana wenye vipaji japo wengi tuna wasiwasi na uzoefu wake hasa ukizingatia Chelsea ina baadhi ya mashabiki wenye uelewa mdogo ambao wao timu ikifanya vibaya tu wanataka kocha afukuzwe.

Hii ni tofauti na mambo yalivyokuwa pale Derby Country. So katika presha ya namna hii inaweza kuwa ngumu kwake kuimiri presha kutokana na kukosa uzoefu.
Makinda wa Chelsea ni wazoefu sana kwa sasa, kinda pulisic miaka 20, kinda Odoi miaka 18
 
Nasemaje kwa lampard, hamna kitu,
 
Usisahau pia, sio msaliti, anaijua Chelsea vizuri na ataibeba kama yake
Pia makocha vijana wakipata nafasi wataitumia vizuri kujenga jina
Na pia nadhani akiwa kocha utasikia wale malegend wenzake kwenye benchi la ufundi
Utamsikia Drogba ndani
John Terry ndani
Petr Cech naye ndani
Wanakuaj kuungana na mkongwe Gianfranco Zola
 
Kwa upande Wang sizan kma lampard anfaa kuw koch wa Chelsea kwa mda huu japo anauzoefu kama mchezaji ila kwa upnde wa ukocha bado uzoefu wake cio mkubwa naukiangalia presha ya ligi prus ban inweza kuwa changamoto kwake
 
F
Weak league unazungumza wewe. Lakini kulingana na rank za UEFA. Point za French league na za ligi ya PL ni sawa sawa. kwahiyo ukifunga goli 20 PL na ukifunga goi 20 French League zote ni sawa.
Hapo umetudanganya...EPL,LaLiga,bundersliga zina pointi mbilimbili...ligue 1 ina 1.5
 
Screenshot_20190614-100328~2.jpeg
 
Usisahau pia, sio msaliti, anaijua Chelsea vizuri na ataibeba kama yake
Pia makocha vijana wakipata nafasi wataitumia vizuri kujenga jina
Na pia nadhani akiwa kocha utasikia wale malegend wenzake kwenye benchi la ufundi
Utamsikia Drogba ndani
John Terry ndani
Petr Cech naye ndani
Wanakuaj kuungana na mkongwe Gianfranco Zola
Kweli mkuu. Hata kocha wa Tottenham alipewa timu akiwa mdogo lakini cheki alivyoitengeneza. Naamini lamp atakuwa vizuri tu. Chamsingi ajiamini ili aisuke Chelsea.
 
FHapo umetudanganya...EPL,LaLiga,bundersliga zina pointi mbilimbili...ligue 1 ina 1.5
Kwa kuboresha zaidi UEFA wana kitu kinaitwa Coefficients ranking factor
Hii ni points zinazotolewa kwa club performance kwenye mashindano ya UEFA na EUROPA kwa msimu mitano ya nyuma.
Ukifuatilia kwenye website yao ya UEFA utagundua kuwa
La Liga imeziacha ligi zingine kwa umbali sana kwa sababu ya timu zao kufanya vizuri kwenye hayo mashindano
Ligi inayofuata ni EPL has kwa mwaka huu Man City, Spurs, Arsenal, Liverpool na Chelsea kufanya vizuri. Wangechukua Coefficients factor ya mwaka huu EPL ingeongoza

UEFA Country Ranking by Coefficients Factor 2019

1127239

UEFA Club Ranking by Coefficients 2018-19
Club wise, Chelsea imefanya vizuri kwenye ligi ambayo Liverpool fans wanaiita ya Mickey Mouse Cup
Wamefanya vizuri hata kuwazidi machampions wa UEFA Liverpool
1127248

Pointi inavyotolewa?
Ukioshinda mechi pointi 2
Ukitoa draw point 1
Ukifungwa pointi 0
Chelsea ilipata pointi nyingi kwa sababu ilishinda mechi nyingi
Ilishinda mechi 12 = pts 24
Ilidraw 3 total 27
Bonus pts nafikiri kwa kuwaondoa Frankfurt kwenye penalty = 3pts
Jumla ya yote pts 30
 
Kweli mkuu. Hata kocha wa Tottenham alipewa timu akiwa mdogo lakini cheki alivyoitengeneza. Naamini lamp atakuwa vizuri tu. Chamsingi ajiamini ili aisuke Chelsea.

Aisee

Mkuu hivi unaijua CV ya Mauricio Pochetino kweli? Kabla ya Spurs alikuwa Southampton na kuna timu nyingina za La Liga kama sijasahau
 
Msimu ujao ni msimu wa kuiunda timu kutoka academy pool of youngsters, tumpe Lampard timu inatosha, hakuna kocha atakayekuja kufanya wonders hapo darajani labda ban waiondoe mapema
 
Kwani Sarri vipi?
 
Kwani Sarri vipi?
Sarri ni hivyo hivyo, tena Lampard si better than Sarry, Sarri ni Conservative kwenye mbinu na staili ya kucheza japo mfumo wake ni mzuri, angeongeza na mbinu kila mtu angempenda.
 
Jamaa anamsifia kweli Zouma na anamfananisha na VVD!!
Jamaa kawalelezea vizuri wachezaji wa mkopo ambao wanaweza kuifanya Chelsea iwe imara msimu ujao

Mkuu huyu mchizi mwenyewe namfuatilia sana na channel yake ya Blue Lion TV. Ana nondo nyingi na updates zote za club yetu.
 
Nimeona clips ya hazard alivyotambulishwa imeniuma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom