lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 16,468
- 21,903
Kama hujasahau ngoja nikukumbushe Modric alipata kura nyingi kuliko wengine kwa sababu ya Croatia kufika fainali ya Worldcup na Madrid Kushinda UEFA, kilichomuangusha Ronaldo ni Portugal kuyaaga mashindano ya WC mapema. Point kubwa hapo achana na discussions maana sio habari njema kwenu. Point kubwa hapa ni kwamba Ballon d'Or haitolewi kwa individual popularity nazungumza kuweza kutawaa trophy kubwa kwenye Ligue tofauti na timu tofautiKwani discussions za Ronaldo na Messi tokea Fanboys wao walipoanzisha Vita vya nani ni Real GOAT zilishawahi kusita?
Au umeshahu kuwa last season waliendesha Mjadala mzito kwenye Media kuwa Ronaldo katumia jitihada binafsi vs Juve, Bayern na PSG kuipa Real CL then Ballon D'or ikaishia kupewa Modric?
Nakuhakikishia kwa FIFA hii as long as Rinaldo na Messi wana washabiki wao binafsi ambao wanawapenda zaidi wao kuliko mpira wanaoucheza basi kati ya hawa wawili hata Siku moja hawezi kuchukuwa Ballon D'or nje ya Timu ya Real & Barca.
Na ndiyomana last season wakahofia kuzisplit kura zao kwa Ronaldo na Modric jambo ambalo lingepelekea Messi apate kura nyingi na kubeba Ballon D'or mbele ya Ronaldo! Basi kura zao zote wakazipeleka kwa Modric.
Na sezon hii watakapozisplit kura zao kwa Ronaldo na VVD ni wazi kuwa Messi ndiye mshindi wa Ballon D'or
Kwahiyo either Messi, au Wasacrify kura zao zote wazitupie kwa VVD.
Hayo yote ni Mawazo yangu tu Mkuu usije ukaanza kufukua Makaburi.[!B]
Mwaka huu labda Messi aweze kuiwezesha Agentina kuchukua Copa America ndipo anaweza kuweka ushindani wa point kwa Ronaldo, apart from that, noway, Ballon d'or haitolewi kindugu inatolewa kwa point ulizo score. Zama kwenye criteria za kutwa hiyo nishani na wacha kuja na porojo za kishabiki