We jamaa huwa una vituko na huachi kuvitoa. Wakati mwingine ni heri kukaa kimya kuficha vituko binavyoendelea kukuaibisha kila kukicha.

Vipi kwani mzee? Umeweka data za Silva hapo chini, ni wazi ni mmoja katika wachezaji waliocheza kiwango cha juu msimu huu. Lakini bado tutakuja kumshuhudia Ronaldo ndani ya top 3 badala yake.Narejea tena Hilo litakua ni vichekesho.

Messi, Silva, Mane, Salah, Van dijk, mbappe, Lewandoski, hawa wote walikua bora bila ya chenga yoyote. Sasa wewe labda utueleze nani aliemzidi hapo na kwa vigezo vipi.
 
VVD

UEFA CUP

UEFA BEST PLAYER

ENGLAND BEST PLAYER

LIVERPOOL BEST PLAYER..

..Alafu ukumbuke balon dor inatolewa mwishoni mwa mwaka

Mwezi wa 8 kuna super cup na community shield..

Na kabla ya hapo Ukiaangalia mafanikio. Ya mchezaji binafsi Van dijk ana mafanikio makubwa maana yeye ni mchezaji bora wa ligi bora na ni mchezaji bora wa mabingwa wa ulaya

Mane alikua ndio Best Player ndani ya Liverpool msimu huu pamoja na Champion League. Hizi paorojo ambazo tunakaririshwa na media za UK binafsi nashindwa kuzielewa kabisa.
 
Ungelisema ni MEDIA nyingi ndiyo zinampa Promo VVD hapo ingelipendeza zaidi.

Kuna mshabiki mwenzako wa Chelsea nilimwambia kuwa huu mchakato wa kuchagua mchezaji bora umejaa mazonge akanibishia.

Mfano Laporte alichokifanya kwenye ukuta wa Man City ni Zaidi ya alichokifanya VVD kwenye ukuta wa Liverpool (VVD yeye kaongezeka kwenye kufunga tu ana magoli 7).
Lakini Media hazijawahi hata kugusia kuwa kuna Mtu anaitwa Laporte.

Na Bernardo Silva ndiyo kabisa Media hazitaki kuutaja uwezo/mchango wake wakati jamaa ndiye talented Midfielder pekee aliyebakia EPL kwasasa.

Na huu mchakato wa Ballon D'or umevurugika zaidi walipoibuka hawa washabiki wa GOAT.

Media last season walitaka kuwapindua GOAT kwa ajili ya kiwasimika Mbappe na Neymar, lakini Timu (PSG) wanayochezea inacheza ligi ya Wakulima na imeboronga CL.

Media Wakaamua waisacrifice Bllon D'or kwa Modric tu lakini isiende kwa GOAT.

Waliamua kivipi? Waliamua kwa kuanza kumpigia debe/Kumtangaza kwenye kila Pembe ya Dunia kupita MaTV, Radio, Magazeti na Social Network ili tunzo isijeanguka kwa GOAT Ronaldo kwani hilo ni kashfa kwa Fans wa GOAT Messi ambaye last season hakuwa na Nafasi.

Sasa season hii Mashabiki (Media) wa GOAT Messi wamehisi Messi anayo nafasi ya Ballon D'or, na Mbappe & Neymar (Ambao walitegemewa kuwarithi) hawana Nafasi.

Na ukiangalia Bernardo Silva hajawa Popular wa kuweza kuwaconvince wapiga kura wamchague yeye ahead of Messi!
Kwahiyo Mashabiki (Media) wa GOAT Ronaldo wakaangalia mchezaji gani ambaye ni Popular na mwenye influence katika Ligi ya kwao (5 Top Leagues).Wakagundua kuwa ni VVD baada ya kubeba CL kuwa ndiye anayeweza kusimama na Messi.
Wakaamu kutumia Slogan ya "B'D'O wanaangaliwa washambuliaji tu, marahii waangaliwe na mabeki".

Hapo ndiyo Media zinapompigia Promo VVD ili tu GOAT Messi asije kumpita kwa tunzo za Ballon GOAT Ronaldo.

Kiufupi B. Silva ni mchezaji mzuri anauestahiki kupata kila Tunzo
umenena vyema mkuu,
hivi kuna shida gani kati ya huyu Laporte na Didier pale France National team maana anaitwa zouma jamaa anaachwa mimi huwaga sielewi kabisa au jamaa kuna sifa ambazo anazikosa?
 
Ungelisema ni MEDIA nyingi ndiyo zinampa Promo VVD hapo ingelipendeza zaidi.

Kuna mshabiki mwenzako wa Chelsea nilimwambia kuwa huu mchakato wa kuchagua mchezaji bora umejaa mazonge akanibishia.

Mfano Laporte alichokifanya kwenye ukuta wa Man City ni Zaidi ya alichokifanya VVD kwenye ukuta wa Liverpool (VVD yeye kaongezeka kwenye kufunga tu ana magoli 7).
Lakini Media hazijawahi hata kugusia kuwa kuna Mtu anaitwa Laporte.

Na Bernardo Silva ndiyo kabisa Media hazitaki kuutaja uwezo/mchango wake wakati jamaa ndiye talented Midfielder pekee aliyebakia EPL kwasasa.

Na huu mchakato wa Ballon D'or umevurugika zaidi walipoibuka hawa washabiki wa GOAT.

Media last season walitaka kuwapindua GOAT kwa ajili ya kiwasimika Mbappe na Neymar, lakini Timu (PSG) wanayochezea inacheza ligi ya Wakulima na imeboronga CL.

Media Wakaamua waisacrifice Bllon D'or kwa Modric tu lakini isiende kwa GOAT.

Waliamua kivipi? Waliamua kwa kuanza kumpigia debe/Kumtangaza kwenye kila Pembe ya Dunia kupita MaTV, Radio, Magazeti na Social Network ili tunzo isijeanguka kwa GOAT Ronaldo kwani hilo ni kashfa kwa Fans wa GOAT Messi ambaye last season hakuwa na Nafasi.

Sasa season hii Mashabiki (Media) wa GOAT Messi wamehisi Messi anayo nafasi ya Ballon D'or, na Mbappe & Neymar (Ambao walitegemewa kuwarithi) hawana Nafasi.

Na ukiangalia Bernardo Silva hajawa Popular wa kuweza kuwaconvince wapiga kura wamchague yeye ahead of Messi!
Kwahiyo Mashabiki (Media) wa GOAT Ronaldo wakaangalia mchezaji gani ambaye ni Popular na mwenye influence katika Ligi ya kwao (5 Top Leagues).Wakagundua kuwa ni VVD baada ya kubeba CL kuwa ndiye anayeweza kusimama na Messi.
Wakaamu kutumia Slogan ya "B'D'O wanaangaliwa washambuliaji tu, marahii waangaliwe na mabeki".

Hapo ndiyo Media zinapompigia Promo VVD ili tu GOAT Messi asije kumpita kwa tunzo za Ballon GOAT Ronaldo.

Kiufupi B. Silva ni mchezaji mzuri anauestahiki kupata kila Tunzo
Benardo Silver ni mchezaji mzuri hakuna ubishi, ila success yake iko limited kwenye domestic competitions, angeongeza na success kwingine ingempa nguvu hata media wakiamua kumnadi wapate sababu. Messi naye ni mzuri hilo hakuna ubishi na mwaka huu umekuwa mzuri pengine kuliko miaka yote ukiondoa 214/15 na 2016/17 ambako alifunga 50+ goals per season in all competitions ila naye mafanikio yake yako limited kwenye domestic competitions.

Score kubwa inaendaga kwenye success ya big competitions
Mfano
VVD angeshinda EPL hii nishani hata asingeshindania na hao wengine, ila sasa itabidi ashindanie na wenzake waliopata success to major competitions
Mimi naona hizi award za ndani ya timu hazina score ya kumuwezesha mtu kuwa competitive
Ukisha shinda ligi yako ya ndani unatakiwa uiwezeshe timu yako aidha ya club au taifa kushinda mashindano mengine makubwa
That is my opinions and it will stay.
Kama ni hizi nishani za ndani si na hao wengine wanazo!
At least nishani ya VVD ya UEFA ina nguvu kuliko ile ya kwake aliyopewa na Liverpool
Recall: Main criteria for voting are:
  1. Individual performance, talents, skills
  2. Team performance in various competitions
  3. Overall behavior in the pitch
 
Captains na makocha ya Team za taifa hawaangalii ubora wenyewe upepo utakapo vuma ndio hukohuko leo hii ukiwakurupusha wanaenda kumchagua CR7 si kachukua bonanza juzi tu waliochukua UCL wamesahaulika,Ngojeni Alison Beka achukue copa America tutaambiwa sasa ni wakati sahihi wa Golie kuchukua Balon D'or, akichukua Messi ndio habari imeisha watasema mnapiga kura za nini mpeni tu, nachokiamini ingekuwepo kamati za kutoa hizi tuzo kwa upigaji kura utaendelea msemo wa atakayecheka wa mwisho kawazidi wote,nimechoshwa na Drama za TWO GOATS
Vipi kwani mzee? Umeweka data za Silva hapo chini, ni wazi ni mmoja katika wachezaji waliocheza kiwango cha juu msimu huu. Lakini bado tutakuja kumshuhudia Ronaldo ndani ya top 3 badala yake.Narejea tena Hilo litakua ni vichekesho.

Messi, Silva, Mane, Salah, Van dijk, mbappe, Lewandoski, hawa wote walikua bora bila ya chenga yoyote. Sasa wewe labda utueleze nani aliemzidi hapo na kwa vigezo vipi.
 
Captains na makocha ya Team za taifa hawaangalii ubora wenyewe upepo utakapo vuma ndio hukohuko leo hii ukiwakurupusha wanaenda kumchagua CR7 si kachukua bonanza juzi tu waliochukua UCL wamesahaulika,Ngojeni Alison Beka achukue copa America tutaambiwa sasa ni wakati sahihi wa Golie kuchukua Balon D'or, akichukua Messi ndio habari imeisha watasema mnapiga kura za nini mpeni tu, nachokiamini ingekuwepo kamati za kutoa hizi tuzo kwa upigaji kura atakayecheka wa mwisho kawazidi wote,nimechoshwa na Drama za TWO GOATS

Mkuu football imekua politics, Lakini matatizo makubwa wanayo mashabiki mana ndio watu wasiojielewa kabisa mana wanakwenda kiushibiki nimuhemko.

Watahakikisha Ronaldo anaingia ndani ya Top 3 hata kama hana sifa, Tokea majuzi media zote Ulaya anazungumzwa yeye kama amefanya jambo kubwa ila cha ajabu nikua hiko kombe walilochukua mchezaji bora ametangazwa Silva. Nawala hazungumzwi kabisa.
 
Benardo Silver ni mchezaji mzuri hakuna ubishi, ila success yake iko limited kwenye domestic competitions, angeongeza na success kwingine ingempa nguvu hata media wakiamua kumnadi wapate sababu. Messi naye ni mzuri hilo hakuna ubishi na mwaka huu umekuwa mzuri pengine kuliko miaka yote ukiondoa 214/15 na 2016/17 ambako alifunga 50+ goals per season in all competitions ila naye mafanikio yake yako limited kwenye domestic competitions.

Score kubwa inaendaga kwenye success ya big competitions
Mfano
VVD angeshinda EPL hii nishani hata asingeshindania na hao wengine, ila sasa itabidi ashindanie na wenzake waliopata success to major competitions
Mimi naona hizi award za ndani ya timu hazina score ya kumuwezesha mtu kuwa competitive
Ukisha shinda ligi yako ya ndani unatakiwa uiwezeshe timu yako aidha ya club au taifa kushinda mashindano mengine makubwa
That is my opinions and it will stay.
Kama ni hizi nishani za ndani si na hao wengine wanazo!
At least nishani ya VVD ya UEFA ina nguvu kuliko ile ya kwake aliyopewa na Liverpool
Recall: Main criteria for voting are:
  1. Individual performance, talents, skills
  2. Team performance in various competitions
  3. Overall behavior in the pitch

Mimi siamini tunzo za kupigiwa kura kuwa ni sahihi Bali ninashabikia tu kwa yule ambaye Mimi ni Fan wake.

Mfano ulichokiandika kinaweza kuwa na Weaknesses pale usipotoa sababu "Kwanini Ronaldinho Alichaguliwa Mchezaji Bora Mwaka 2005" bila ya kushinda Kombe lolote Kubwa instead ya Domestic cup (Laliga)?

Kwanini Ronaldo De Lima alichaguliwa Mara 3 kuwa Mchezaji bora bila ya Kombe kubwa lolote?

Hata Rivaldo katika ya Mwaka 2000 (kama nipo sahihi) alichaguliwa mchezaji bora wakati huo Barcelona ilikuwa sawa na Bolton.

Hivi vigezo vya kushinda Makombe Makubwa vimekuja baada ya Drama za hawa GOATs wawili ili kuhalalisha utawala wao baada ya kuonekana CL ipo katika himaya yao kubadilishaba wawili.

Sometime CL pekee inatosha kumpa mtu Ballon D'or ... Kumbuka Ricardo Kaka Mwaka 2007 alibeba Ballon kwa Kushinda CL tu huku akikosa makombe mengine yote.

So, VVD has a chance
Messi has a chance
Ronaldo may be has a chance too
 
Mimi siamini tunzo za kupigiwa kura kuwa ni sahihi Bali ninashabikia tu kwa yule ambaye Mimi ni Fan wake.

Mfano ulichokiandika kinaweza kuwa na Weaknesses pale usipotoa sababu [/I]"Kwanini Ronaldinho Alichaguliwa Mchezaji Bora Mwaka 2005" [/I] bila ya kushinda Kombe lolote Kubwa instead ya Domestic cup (Laliga)?

Kwanini Ronaldo De Lima alichaguliwa Mara 3 kuwa Mchezaji bora bila ya Kombe kubwa lolote?

Hata Rivaldo katika ya Mwaka 2000 (kama nipo sahihi) alichaguliwa mchezaji bora wakati huo Barcelona ilikuwa sawa na Bolton.

Hivi vigezo vya kushinda Makombe Makubwa vimekuja baada ya Drama za hawa GOATs wawili ili kuhalalisha utawala wao baada ya kuonekana CL ipo katika himaya yao kubadilishaba wawili.

Sometime CL pekee inatosha kumpa mtu Ballon D'or ... Kumbuka Ricardo Kaka Mwaka 2007 alibeba Ballon kwa Kushinda CL tu huku akikosa makombe mengine yote.

So, VVD has a chance
Messi has a chance
Ronaldo may has a chance too
Labda hakukuwepo na mchezaji aliyepita hapo. Kama listed wote wana single big cup, factors zingine zinaprevail ofcourse
And infact hata hao akina Silva wana chance na wengine watakaoorodheshwa. Nasikia list inafikaga mpaka 30
Mimi nilizungumzia walio kwenye favored chance ya kushinda na sio lazima iwe hivyo
 
Vipi kwani mzee? Umeweka data za Silva hapo chini, ni wazi ni mmoja katika wachezaji waliocheza kiwango cha juu msimu huu. Lakini bado tutakuja kumshuhudia Ronaldo ndani ya top 3 badala yake.Narejea tena Hilo litakua ni vichekesho.

Messi, Silva, Mane, Salah, Van dijk, mbappe, Lewandoski, hawa wote walikua bora bila ya chenga yoyote. Sasa wewe labda utueleze nani aliemzidi hapo na kwa vigezo vipi.
Mkuu ngoja nikutajie top five yangu naona unaanza mpaka kutuwekea kina Lewandowski.

Silva, VVD, Messi, Mane, Ronaldo ziada Hazard.

Mane anaweza kupanda kutegemeana na perfomance yake Afcon.
 
Mkuu umechefukwa kumsikia Lewandowski? Unafahamu amefunga magoli mangapi msimu huu? unajua kama amebeba domestic double msimu huu tena akiwa Man of the match kwenye cup final? Unajua kama ni Top score bundesliga msimu huu? unajua kama ameshika nafasi ya pili kwenye chart ya Champion league top scores msimu huu? Unataka lipi jengine?
 
Ni sawa tu, wachezaji wote wamefanya vizuri

Ila wanaostahili hapo hiyo tuzo ni
Leonel messi
Eden hazard
Cristiano Ronaldo

Mmoja wao akibeba nitampongeza tu

Hao wengine ni vilaza na wakichukua nitashangaa sana

Hivi mkuu wewe unaamini kabisa Hazard na Ronaldo Wanastahiki kuchukue uchezaji bora wa Ulaya msimu huu?
 
Back
Top Bottom