Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah Reece Jamse nasikia ni majeruhi, Kante Ngolo naye vile vile, Cheek Loftus naye pia yumo, Rudiger ndo ajulikani atapona lini, Barkley ndo Uyo mchomeshaji, Odoi naye tena ndo IVO majeruhi, Hazard ndo hatunaye tena, uku Juve wanamtaka Emesorn, Alonso nao Inter Milan wamedinda, daaaah haya ni baadhi ya matatizo yanayoikumba club yetu pendwa.

Ila hope tutavuka salama kabisa..

#weWillmakeThemSuffer.KTBFTFH [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Inavyoelekea Chelsea hawataomba delay ya ban na darajani wamejiandaa kutumikia hiyo ban ili wasipigwe ban nyingine. Sheria za FIFA ni kwamba timu itakayofanya ujaanja ujanja wa kudelay ban wanapigwa ban nyingine ya dirisha moja
Ili kuepuka hiyo, ndio maana appeal waliyotuma hawakuomba delay ya ban na hawatafanya hivyo
So wapendwa tujiandae kisaikolojia na akina Reece James, Tammy, Giroud, Pulisic, Willian, Pedro, Odoi, Jorginho, Kante, RLC, Bakayoko (nasikia amefanya maamuzi ya kurudi darajani kupigania nafasi yake), Batshuayi naye yumo, Rudiger, Alonso, Emerson, CVhristiansen, Luiz, Cabarelo na Kepa
Kumb: Kovacic na Higuaín hawatakuwepo kwenye orodha kwa sababu Kovacic muda wake umeisha na Higuaín Chelsea hawako tayari kuextend mkopo

Chelsea are refusing to comment on the situation, but sources claim that there is a real fear the ban might be extended to three transfer windows if they lose their appeal and are judged to have tried to delay it.
telegraph.co.uk
 
Imekuwa ni furaha sana kwa fans wa timu za Liverpool, Arsenal, Man United n.k kwa kuondoka kwa msumbufu aliyewatesa mabeki zao.

Ila hope tutamtengeneza msumbufu mwingine atakayewasumbua.

Good Luck Eden Hazard.

Hahahahaha

Mtamtengeneza na nini? Hazard mlichukua Lille hukoo
 
KYLIAN MBAPPE has handed in a transfer request at PSG, according to shock reports from Spain. Real Madrid could now bid for the French international as he looks for a move away from Paris.

"It's very important moment for me, I come to a turning point in my career"
Kylian Mbappe
 
Hahahahaha

Mtamtengeneza na nini? Hazard mlichukua Lille hukoo
Mkuu chelsea hii hashindwi kumuunda Odoi au Pulisic ili kuja kuwatoa jasho mabeki kama VVd, Bissaka, na makipa kama akina Allison wajipange kupata tabu.

#tabuNiileile
 
Hivi umepata hata vionjo vya takwimu za Virgil van Dijk msimu huu? Hivi unajua kuwa Van Dijk anapigiwa chapuo kuchukua Ballon D'or ?
 
VVD leo kashindwa mbele ya Ronaldo men na kuacha Kombe la kwanza kabisa la UEFA Nations League iende Ureno, hapo unasemaje MAN?

Anaweza kuwepo kwenye lists lakini Ronaldo pekee ndie mwenye makombe makubwa Zaidi ya moja. Huyo VVD ana UEFA tu
Angeshinda leo UEFA Nations League angepata bila ushindani.
 
Dah Reece Jamse nasikia ni majeruhi, Kante Ngolo naye vile vile, Cheek Loftus naye pia yumo, Rudiger ndo ajulikani atapona lini, Barkley ndo Uyo mchomeshaji, Odoi naye tena ndo IVO majeruhi, Hazard ndo hatunaye tena, uku Juve wanamtaka Emesorn, Alonso nao Inter Milan wamedinda, daaaah haya ni baadhi ya matatizo yanayoikumba club yetu pendwa.

Ila hope tutavuka salama kabisa..

#weWillmakeThemSuffer.KTBFTFH [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Majeruhi wanapona haraka pale league zinaposimama Team inakuwa out of out of pressure recovering inakuja chap chap watakacho miss hao wachezaji ni pre season kwa wengine match fittiness inaweza kutu cost mechi za kwanza ila kwa Ng'olo ata akiwa 80% anakipiga vizuri, pia FA kama kawaida yao mechi tano za kwanza utakuta Tunacheza na Top 6 wawili hapo ndipo tatizo linapoanza
 
Kwani hao nao wachambuzi? Huyo Shaffih Dauda ndiye aliyesema Simba SC itashika Mkia kwenye Makundi ya ACL na katu haitavuuka kwenye Makundi na haitoshinda Mchezo hata mmoja.

Na haohao ndiyo waliosema Liverpool haitoboi kwa Bayern, ikisha wakasema haitoboi kwa Barcelona.

Hao ni Wababaishaji tu na Wachafuzi. Sio Wachambuzi kabisa.
Vyovyote itakavyokuwa yawezekana walitoa maneno ambayo hayakukufurahisha kwa timu yako ila mi nawatambua kama wachambuzi.
 
Dah kwa iyo Sarri na yeye kaamsha?
Atatangazwa Juve siyo muda
IMG_20190610_054317_238.jpeg
 
VVD leo kashindwa mbele ya Ronaldo men na kuacha Kombe la kwanza kabisa la UEFA Nations League iende Ureno, hapo unasemaje MAN?

Anaweza kuwepo kwenye lists lakini Ronaldo pekee ndie mwenye makombe makubwa Zaidi ya moja. Huyo VVD ana UEFA tu
Angeshinda leo UEFA Nations League angepata bila ushindani.

Makombe makubwa unamaanisha hili la UNL au?

Nadhani umesahau kuwa Rinaldo ameshaondoshwa kwenye reli za Ballon D'or tokea last sezon alipohama Madrid licha ya kuwa alishinda CL.
 
Let wait and we will see
 
Makombe makubwa unamaanisha hili la UNL au?

Nadhani umesahau kuwa Rinaldo ameshaondoshwa kwenye reli za Ballon D'or tokea last sezon alipohama Madrid licha ya kuwa alishinda CL.
Baada tu ya ushindi wa jana discussion za Ronaldo pekee kuwa kwenye nafasi nzuri ya kutwaa hiyo nishani imeanza rasmi
Nataka watu wajue, makombe makubwa yana points nyingi sana kwenye ushindani, na mtu pekee mwenye makombe makubwa mengi ni Ronaldo, that is a point hata kama hii haipendenzi machoni mwa mashabiki wa Liverpool. Hata kama sio tamu mdomoni mwa mashabiki wa Liverpool, VVD ataisikia Ballon D'or redioni tu au kuiona kwenye TV

Discussions
Cristiano Ronaldo on Ballon d’Or 2019 after UEFA Nations League victory

Cristiano Ronaldo led Portugal to a 1-0 win over Netherlands in the UEFA Nations League finals but made it a point not to be drawn into Ballon d’Or discussion after the match.

Ronaldo hit a semi-final hat-trick as Portugal advanced to the Nations League final, and silverware with the national side could see his odds shorten on being awarded a record sixth Ballon d’Or.
After Portugal's victory at the maiden edition of the UEFA NATIONS LEAGUE, Ronaldo might be the odds on favorite to win the 2019 Ballon d'or award surpassing Liverpool's Virgil Van Dijk and Barcelona's Lionel Messi.
Youtube
Even haven knows who is the best player in the world . It's always been Messi. Respect to Ronaldo van Dijk and other best players. But if the ballon d or is an individual award it should always going to Messi. I mean look at the numbers and decide on yourself. No one is even near the 🐐
https://www.youtube.com/watch?v=EvKzQ7_wAME
 
Kwani discussions za Ronaldo na Messi tokea Fanboys wao walipoanzisha Vita vya nani ni Real GOAT zilishawahi kusita?

Au umeshahu kuwa last season waliendesha Mjadala mzito kwenye Media kuwa Ronaldo katumia jitihada binafsi vs Juve, Bayern na PSG kuipa Real CL then Ballon D'or ikaishia kupewa Modric?

Nakuhakikishia kwa FIFA hii as long as Rinaldo na Messi wana washabiki wao binafsi ambao wanawapenda zaidi wao kuliko mpira wanaoucheza basi kati ya hawa wawili hata Siku moja hawezi kuchukuwa Ballon D'or nje ya Timu ya Real & Barca.

Na ndiyomana last season wakahofia kuzisplit kura zao kwa Ronaldo na Modric jambo ambalo lingepelekea Messi apate kura nyingi na kubeba Ballon D'or mbele ya Ronaldo! Basi kura zao zote wakazipeleka kwa Modric.

Na sezon hii watakapozisplit kura zao kwa Ronaldo na VVD ni wazi kuwa Messi ndiye mshindi wa Ballon D'or

Kwahiyo either Messi, au Wasacrify kura zao zote wazitupie kwa VVD.
Hayo yote ni Mawazo yangu tu Mkuu usije ukaanza kufukua Makaburi.[!B]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom