Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Manchester City are fearing a Champions League ban and have launched a legal challenge to halt UEFA's investigation.
 
Toa hawa luiz, azpillicueta, joginho, giroud maana sioni mchango wao hapo stanford kwa sasa
Wachezaji wasiohitajika sasa hivi Chelsea squad ya mwaka huu unaoisha ni
Zapacosta
Drinkwater
Hao uliowataja ndio wamerudi kwenye form huwezi kuwaacha
Baada ya kutoa nuksi ya kutofunga Europa, nategemea Giroud atafunga magoli msimu ujao akishirikiana na Tammy wetu
 
Goodluck mkuu tukutane 14august
 
Come UEFA Supercup final tunawafunga goli 4

Yaani si chini ya goli nne kutoka kwa Firmino, Wijnaldum na Shaqiri
 
Cristiano Ronaldo Hat Trick ya 53
  1. Man U = 1
  2. Real Madrid = 44
  3. Portugal = 7
  4. Juventus = 1
Scored in 38 different international meetings and not slowing down

CR7 is really a goal machine
 
Unapaswa kujua kuwa Pulisic hawezi kuvaa viatu vya Hazard kwa sasa ila anakuja kuunda timu ya Chelsea

Kwahiyo baada ya kuwa mulisema Sarri anaunda Timu around Joginho, Sasa imekuwa anaunda Timu around Pulisic?

Mulimsifia Joginho baadae muakishia Kumlaumu!
Na huyu Pulisic mutamkataa kabla ya hata mechi 10.
 
IMG_5459.JPG
 
Done deal: Real Madrid na Chelsea wamekubaliana kufika hitimisho la Eden Hazard kwa dau la €100 million (£88m/$112m). Hazard atalazimika kusafiri kwenda jijini Madrid kufanya vipimo vya afya. Sasa Hazard ni mali ya Madrid rasmi
:
Fair price?[emoji383]
 
Muundo, mfumo mzuri wa kuwatumia wachezaji walioko tu ndio utakaoiwezesha Chelsea kuingia top 4 mwakani na kubeba silverware
Kama kocha akifikiri kuna mchezaji ataziba nafasi ya hazard, ni kujidanganya na itatucost. Pulisic mambo yake yakienda vizuri ni mpaka misimu miwili au mitatu ijayo ndio inawezekana akamfanania Hazard lakini sio mwaka huu au mwaka kesho
Huo ndo ukweli
 
Toa hawa luiz, azpillicueta, joginho, giroud maana sioni mchango wao hapo stanford kwa sasa
Huwa unaangalia mechi Chelsea inapocheza kweli? Luiz na Georginho hujaona michango yao? Azipilicueta ameisaidia timu tokea msimu wa 2014/2015 mpaka sasa na amecheza mechi nyingi sana EPL. So amekuwa overused ila kiukweli ni mchezaji muhimu sana
 
Done deal: Real Madrid na Chelsea wamekubaliana kufika hitimisho la Eden Hazard kwa dau la €100 million (£88m/$112m). Hazard atalazimika kusafiri kwenda jijini Madrid kufanya vipimo vya afya. Sasa Hazard ni mali ya Madrid rasmi
:
Fair price?[emoji383]
Hizo zote bado ni gossips
Ukweli ni kwamba wakati wa transfer windows media hazina njia nyingine ya kuuza habari isipokuwa gossips and rumors around the corners
 
Sajiri zote ni gambling. Mchezaji yeyote anaweza kuflop au kuumia nk. Ni wachezaji wachache wanaingia moja kwa moja kwenye timu. Wengi inawachukua msimu mmoja. Mwangalie Fabinho, Joginho, Keita,...
Huyu pulisic mwenyewe nadhan itakuwa kamari tu hii mmechezewa
 
Nani alijua kama 2016/2017 tungebeba EPL baada ya kumaliza nafasi ya 10 msimu uliotangulia?
Labda kutokee figusu kwenye bodi, ila kama Sari ataendeleza alipoishia, timu ikapress kama anavyotaka Sari basi tutakuwa na solid team msimu ujao. Chelsea inahitaji wachezaji 2 hasa na si zaidi ya hapo. Kama Giroud akiweza kufunga magoli 18+ msimu ujao basi tegemea lolote.
This is Chelsea timu inayobeba EPL kila baada ya misimu 2/3?
Chelsea? [emoji23] [emoji23][emoji23]

Kwa kikosi ulichonacho nakuhakikishia utakuja kugombania Nafasi ya 4 na Arsenal.
 
Hazard jamani kuondoka kwake ni pengo kubwa Sana kwa Chelsea, sijui nafasi yake itazibwa na nani!
 
Sijasema timu inakuja kuundwa around Pulisic ila nimesema Pulisic anakuja kuunda timu. Try to reread comprehensively utagundua hilo.
Kwahiyo baada ya kuwa mulisema Sarri anaunda Timu around Joginho, Sasa imekuwa anaunda Timu around Pulisic?

Mulimsifia Joginho baadae muakishia Kumlaumu!
Na huyu Pulisic mutamkataa kabla ya hata mechi 10.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom