Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Baada ya chelsea kufungiwa kuto sajili...naona ni kipindi sahihi kwa chelsea kutumia wachezaki wake waliopo kwa mkopo( loan army) kwa sababu wapo wachezaji wazuri na wadogo kiumri wanaofundishika...mfano kwa kipa hatuna shida sana kwenye back line...right back wamrudishe reece james akisaidiana ola aina ambao wamefanya vizuri sana kwenye loan deals zao azp yenye arusishwe kati na atakuwa kama menta qa hawa madogo...centre back tuna christensen na zouma apo akiwepo luiz rudiger na azp wanatosha kabisha kwa namba zote mbili...left back emerson anatakiwa apewe starting role afu alonzo na jay dasilva wawe back up...middle kwa DM joginho na kovasic wako vzr then zile namba mbili...kante/mount,cheek/barkley middle inakua imekamilika kabisa apo labda wainject mido mpya moja tuu yenye fluid witha ball na a pure attacking skills atatosha kabisa...wings baada ya hazard kuondoka ile jezi namba kumi akabidhiwe odoi na wing ya chini ashilikiane na pulisic afu kule juu awepo pedro/willian wings zote apo zimeisha ...striker tammy abraham yupo vzr sana kama kuprove uwezo wake ameshafanya sana kwa misim mitatu sasa apo atakua na giroud na either arudishwe batshway au wasajili ata yule felix wa benfica itakua poa...mi naona izi young blood zikiwa injected kwenye timu itakua na spidi na competent vilevile kupambania makombe yote at all fronts
Kovacic muondoe kwa sababu muda wake umeisha na hataweza kusajiliwa kwa sababu ya ban, hapo kati no way lazima tu Bakayoko arudi
 
Asee hazard wamuachie tu kama wamefika 120 ni mchezaji gani aliyebakisha mwaka akauzwa 120 pia mwakani atakuwa na 29,wakigoma watafanya mchezaji acheze chini ya kiwango kwa makisudi bila sababu ,aliyotufanyia dogo yanatosha
Hazard is very loyal. Kama hawataelewana atacheza kiroho safi alafu ataondoka bure mwisho wa msimu
 
Tatizo mashabiki wengi hawajauelewa mfumo wa Sari. Yeye anataka kwanza mfumo wake ueleweke ndo options nyingine zifuate na amekuwa clear kwenye press zake kuhusu hilo.
Bado anatakiwa kuufanyia marekebisho mfumo wake wa uchezaji maana watu wanamgundua mapema mbinu zake.

Japo nasikia juve wamegoma kulipa hela waliyotaka chelsea. Bila shaka atabaki darajani
 
Bado naendelea kusema lete ushahidi wa Kuthibitisha hilo unalodai!

Baada ya kushindwa kutoa ushahidi labda nikwambie tu kuwa Kyle kwetu/Kwenye Uzi wetu hakuna hicho kitu kumeguka/kugawika kwa Mashabiki.

Ni Mjinga mmoja tu ndiye aliyejitenga na kujifanya kuwa yeye pekee ndiye mwenye mamlaka na Timu bali wengine hawana haki na timu.

Nadhani unahadaliwa na Neno "SISI LIVERPOOL HALISI"..

Umeshawahi kuwaona hao wenzake ni kina nani?

Kwahiyo umehadaliwa na neno " SISI" ukadhani wapo wengi waliojigawa kumbe ni Mtu mmoja tu kwa sababu ya Matatizo Yake ya kiakili anajiona ni yeye pekee ndiye mshabiki wa Liverpool Tanzania.

Kwahiyo kule hakuna Makundi/Kumeguka kama unavyodanganya hapa! Sote tuko pamoja isipokuwa Mtu mmoja/Malafyale tu kujifanya ana hatimiliki ya Timu.

Na tumeshamjua kuwa ni Mental disorder.

Narejea tena! Kama hukubaliani na Niliyoyaandika basi toa Ushahidi hapa kwa Kutaja Members Watatu tu kwa kila kundi kwenye hayo Makundi tuliyojigawa.
Kwani wewe upo Liverpool halisi au Liverpool?
 
Chelsea kama walijua watafungiwa, na hazard ataondoka, wakaamua kumnunua mapema Christian Pulisic
 
Chelsea & Real Madrid make €100m Hazard deal

1 hour ago 01:26

Belgian star to complete summer switch
Real Madrid and Chelsea have agreed a €100 million (£88m/$112m) transfer fee for Eden Hazard, The Guardian claims.
The Belgian attacker has been linked with a move to the Santiago Bernabeu for over a year and has long seemed set to complete the switch this summer.
The move will be announced in a few days after the two sides were able to work out a deal.

Msimu huu ujao lazima mushuke daraja I swear
Hii ligi asipochukua Man City basi atachukua Chelsea. Believe me
 
Real Madrid: Aliondoka Redondo na timu ikazidi kuboreka ije iwe Ronaldo?
Sasahivi kila mtu anajuwa kinachowasibu.

Sasa nanyinyi endeleeni kujipa false hope kuwa Pulisic ndiyo Hazard.
Tatizo lako hujui mifumo inayotofautisha hizi team kiuchezaji kati ya Chelsea na real Madrid

Sio kosa lako Bali ni kosa LA kutofatilia mifumo ya team kwenye kuunganisha wachezaji
 
Unapaswa kujua kuwa Pulisic hawezi kuvaa viatu vya Hazard kwa sasa ila anakuja kuunda timu ya Chelsea
Real Madrid: Aliondoka Redondo na timu ikazidi kuboreka ije iwe Ronaldo?
Sasahivi kila mtu anajuwa kinachowasibu.

Sasa nanyinyi endeleeni kujipa false hope kuwa Pulisic ndiyo Hazard.
 
Sina uhakika kama ataondoka, ila kama akiondoka shida itakuwa ni kukosa support ya mashabiki
Baadhi ya vyombo vya habari zinadai Juve hawako tayari kufidia mktaba wake uliobaki wa paundi mil5
 
Tatizo lako hujui mifumo inayotofautisha hizi team kiuchezaji kati ya Chelsea na real Madrid

Sio kosa lako Bali ni kosa LA kutofatilia mifumo ya team kwenye kuunganisha wachezaji
You will waste your energy arguing with Liverpool fans and especially Ngwaba
 
Unapaswa kujua kuwa Pulisic hawezi kuvaa viatu vya Hazard kwa sasa ila anakuja kuunda timu ya Chelsea
Muundo, mfumo mzuri wa kuwatumia wachezaji walioko tu ndio utakaoiwezesha Chelsea kuingia top 4 mwakani na kubeba silverware
Kama kocha akifikiri kuna mchezaji ataziba nafasi ya hazard, ni kujidanganya na itatucost. Pulisic mambo yake yakienda vizuri ni mpaka misimu miwili au mitatu ijayo ndio inawezekana akamfanania Hazard lakini sio mwaka huu au mwaka kesho
 
Kepa
Azpillicueta | Ludiger | Luiz | Emerson

Joginho | Kante. | Kovacic/Loftus

Pulisic | Tamy/Giroud | Odoi
Toa hawa luiz, azpillicueta, joginho, giroud maana sioni mchango wao hapo stanford kwa sasa
 
Huyu pulisic mwenyewe nadhan itakuwa kamari tu hii mmechezewa
kusajili mchezaji ni kamari unaweza sajili kwa kutegemea aje kuziba pengo mwishoni akabuma... msingi ni kuomba tu afiti kwenye timu vzur hayo mengine mbele ya safari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom