Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Asee hazard wamuachie tu kama wamefika 120 ni mchezaji gani aliyebakisha mwaka akauzwa 120 pia mwakani atakuwa na 29,wakigoma watafanya mchezaji acheze chini ya kiwango kwa makisudi bila sababu ,aliyotufanyia dogo yanatosha
Wataafikiana tu bado muda wa usajili ndio kwanza asubuhi,
 
Eden Hazard #Dealdone
Taarifa kutoka Spain zinaeleza kuwa Saga ya uhamisho wa Hazard umefikia kikomo
Muda wowote Real Madrid watatangaza

🚨
🚨
🚨
EXCLUSIVE # JUGONES | The HAZARD FICHAJE by the REAL MADRID will be OFFICIAL in the NEXT HOURS. The PRICE will be around 100 MILLION.
 
Mashabiki wataoshukuru Hazard kuhamia La liga kwa sababu ya timu zao kufanyiwa mbaya na Hazard ni hawa hapa
  1. Arsenal - timu iliyofanyiziwa ile mabay ya kwanza ni Arsenal - goli la Europa likiwa la 109 na 110 kwa Hazard
  2. Liverpool - Mojawapo ya magoli mengi aliyowafunga Liverpool ni lile goli la mwaka la Chelsea likiwa la 95 kwa Hazard alilowafunga Liverpool kwa kuwanyanyasa akina Robertson, Keita na Fabinho kwenye mechi ya Karabao Cup 26 Sept 2018
  3. Man united
  4. Ongeza zingine
 
Kudadeki!! Madrid to announce 'most important signing in years'
Nilijua tu utashangilia kwa sababu Hazard sio tu kawafunga ila kawafanyia mbaya tangu aje Chelsea, nyie na wenzako wa Arsenal na Man u mtafanya sherehe naona
 
Ronaldo Velverde na Countinho
But Brazilian Ronaldo says putting the blame on those two and then praising Messi when they win shows a ’tremendous lack of respect.’
"Barcelona have a great team, and they have the best player in the world in Messi," Ronaldo said.
"The other day I heard that when they lose, it's because of Valverde, Coutinho... but not Messi. And when they win, Barcelona win because of Messi"
"It's a tremendous lack of respect to all the players and the coaching staff."

Fikra kama hizo ndizo zilizojaa katika vichwa vya wabongo. Hivi messi alishindwaje kutia goli moja tu Pale Anfield?

Team ikishinda tunaambiwa wachezaji, Ikifungwa lawama kwa kocha.
 
Eden Hazard
Tutakukumbuka daima
  1. 📅
    7 years.
  2. 🏟️
    352 matches.
  3. ⚽️
    110 goals.
  4. 🎯
    92 assists.
  5. 🏆
    6 trophies.

One of the best to play in the Premier League.
 
Uhamisho wa Hazard bado ni kizungumkuti baada ya mazungumzo kati ya Chelsea na Real Madrid kuvunjika bila makubaliano hapo juzi, jumatatu
Sasa itakuwaje kama Hazard munyewe anataka kuondoka. Inaonesha clab haitaki kumuacha lakin itakuwa mbaya zaidi maana Mkataba aongezi na kabakiza mwaka mmoja tu..

Yasije kutokea ya kuondoka bure aise mwakani.
 
Uhamisho wa Hazard bado ni kizungumkuti baada ya mazungumzo kati ya Chelsea na Real Madrid kuvunjika bila makubaliano hapo juzi, jumatatu
Sasa itakuwaje kama Hazard munyewe anataka kuondoka. Inaonesha clab haitaki kumuacha lakin itakuwa mbaya zaidi maana Mkataba aongezi na kabakiza mwaka mmoja tu..

Yasije kutokea ya kuondoka bure aise mwakani.
 
Mashabiki wataoshukuru Hazard kuhamia La liga kwa sababu ya timu zao kufanyiwa mbaya na Hazard ni hawa hapa
  1. Arsenal - timu iliyofanyiziwa ile mabay ya kwanza ni Arsenal - goli la Europa likiwa la 109 na 110 kwa Hazard
  2. Liverpool - Mojawapo ya magoli mengi aliyowafunga Liverpool ni lile goli la mwaka la Chelsea likiwa la 95 kwa Hazard alilowafunga Liverpool kwa kuwanyanyasa akina Robertson, Keita na Fabinho kwenye mechi ya Karabao Cup 26 Sept 2018
  3. Man united
  4. Ongeza zingine

Sasa sisi tunashukuru kuondoka Hazard Je nyinyi akiondoka Salah mutafanyaje?
Coz kila Msimu Salah lazima awatoboe
 
Nilijua tu utashangilia kwa sababu Hazard sio tu kawafunga ila kawafanyia mbaya tangu aje Chelsea, nyie na wenzako wa Arsenal na Man u mtafanya sherehe naona

Unaongea kama vile Hazard anaifunga Liverpool kila Msimu wakati ukweli Halisi kaifunga Liverpool msimu huu uliomalizika tu baada ya kukaa Zaidi ya Misimu 3 bila ya kuona Nyavu za Liverpool.

Hazard hakuwa na uwezo wa kuifunga Liverpool kila Msimu Wakati Salah misimu Miwili aliyoichezea Liverpool yote kainyanyasa Chelsea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom