lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Chelsea wana makombe 16 ikiwemo UCL na EPL za kutosha na Europa Ligue trophies in 15 years na bado kuna watu wasiofikiria wana mock na ksuiema better 1 UCL in 100 years than 10 Mickey Mouse cups in 5 yrs. Liverpool wana laana kwa sababu ya midomo ya mashabiki wao
Unajua watu wakimkufuru Mungu, mji wao umelaaniwa siku zote mpaka watubu
Hao watu wa Liverpool wanaomkufuru Mungu, Liverpool yao itaendelea kulaaniwa mpaka watubu
Unajua watu wakimkufuru Mungu, mji wao umelaaniwa siku zote mpaka watubu
Hao watu wa Liverpool wanaomkufuru Mungu, Liverpool yao itaendelea kulaaniwa mpaka watubu