Hatutegemei makubwa mwakani, tukifight tukabaki top 4 na kushinda vikombe vidogo vidogo itasaidia kutupitisha kwenye ban hadi msimu wa 2020/21
"Loss of Hazard, Maurizio Sarri, together with a transfer ban, means any new coach may need more time than the club have previously been willing to grant their head coaches"
Kama eden kimario alivyosema, ni Messi tu anaweza kuziba immediately nafasi atakayoiacha Hazard, Pulisic anaweza akaiziba nafasi hiyo baada ya misimu mitatu hadi minne kama career yake itafanikiwa Chelsea na kama atakuwa chini ya kocha mzuri