Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jorginho tells Maurizio Sarri not to take Juventus job as it would be a ‘betrayal’ to Napoli fans

Kwa Upinzani wa Juve na Napoli ni usaliti kweli! Lakini linapokuja suala la kazi basi Sarri hile ni kazi Yake anaweza kufundisha yeyote.
 
Kama Sarri ataondoka basi itakuwa vigumu sana kumpata tena top manager kuja darajani. Sarri is a top coach na ndani ya msimu mmoja amebadili style of play. Kama angepewe msimu mwingine mmoja basi kandanda ambayo ingepigwa darajani funs wengi wangei-admire Chelsea. Na nakuhakikishia kocha atakaye kuja hata top four Chelsea haitaingia. Kuondoka Sarri ni sawa na kuwaruhusu Tottenham na Man U waingie top four for free. Mashabiki wengi wa Chelsea are still immature. They don't know where to stand. Kazi kufuata upepo tu
Makocha wapo mkuu tena wazuri tu sema wanafundisha team ndogo na ukiwapa nafasi kwenye team kubwa utawapenda bure
 
Sarri Kageuka Wakala Kama Mwinyi Zahera Kaja Kumuuza Hazard ikisha nayeye anasepa.
Chelsea tunamtakia kila la heri kama anasepa.

Sisi hua hatukai na makocha na hiyo imetupa mafanikio kama club

Ye asepe tu kama anaondoka
 
Kama EPL ndiyo kombe la Heshima zaidi kuliko UCL nadhani Man City ndiyo ingekuwa Timu yenye Heshima Zaidi Duniani!

Lakini cha ajabu Nje ya Uengereza Man City hakuna anayeijuwa kuwa ni timu Bali inaonekana sawa na Everton tu.

Ancelotti hakuwa na Ubavu kwenye Serie A, Zidane hakuwa na Ubavu kwenye Laliga lakini walijijengea Heshima kwa UCL.

Leo hii someone from Mbagala Kibondemaji anasema UCL haina Heshima mbele ya EPL! teh teh teh teh teh teh
Uhalisia wa kubeba ligi utabaki kwenye heshima yake.. uefa hata Aston Villa aliwahi kubeba.. halafu kwa man city ni moja ya timu inayojenga fans wengi ulaya kwa sasa..

Narudia tena uefa ni game of chance, tunajua ni jinsi gani mumeumia kwa kuikosa EPL.
 
Hapa ndiyo munapoonesha upopoma wenu!! Sasa kama tunakaa miaka 10 bila ya Ubingwa kwanini musituzidi hizo CL 6 tulizonazo?

Tumebeba 2005 lakini cha kushangaza katika kipindi hicho hamukubeba hata 3 kwa timu zote za England ili mutuzidi sisi tusiojuwa makombe..

LIVERPOOL NDIYE MBABE WA ULAYA NA NDIYE MTETEZI PEKEE WA EPL LINAPOKUJA SUALA LA ULAYA
Mtetezi unatetea nini izo uefa zenu za maika ya tisini old version unasema unatetea EPL.. Mukichukua kama madirid ci mutakuwa vichaa?!
 
Hapa ndiyo ujue kama Liverpool mfalme wa Ulaya! Chelsea kacheza CL misimu 15 mfululizo kaangukia CL moja tu.
Liverpool baada ya kusuasua nje ya Top kacheza CL misimu miwili tu mfululizo na yote kacheza Fainali moja kapoteza na moja kabeba Ndoo ya Wanaume.

Hapo ndiyo utajuwa kiwa Liverpool ni mbabe wa Ulaya.

Msimu ujao pia CL inatua Liverpool
Wewe kwenye iyo miaka 15 ulikuwa wapi?
 
Sasa Kama CL ni ubwete kwanini usibebe japo Mara 2?

Kwanini Velverde mwenye uhakika wa kuchukua La Liga katimuliwa baada ya kusuasua CL?

Haya mawazo ya Baadhi ya washabiki wa Chelsea ya kujifanya eti EPL ni bora kuliko CL ni loser mentality.

Wengi wanaosema CL kichukua ni rahisi kuliko ligi kuu ni wale ambao hawachukui CL.

Sasa kama ni rahisi kwanini musichukue?

Jipangeni basi na nyinyi mwakani muchukue kama munavyochukua Mickey mouse.

Hivi ile kugombania Top Four ilikuwa ina maana gani kama kombe sio bora Duniani?

Sijawahi kuona Chelsea akipumzisha wachezaji CL kwa ajili ya mechi ya EPL, But ni Mara nyingi Chelsea na timi nyengine zinapumzisha wachezaji EPL kwa ajili ya CL! Je hapo bado hujajua thamani na ugumu wa CL?
Akijibu hili nitag mkuu
 
Uhalisia wa kubeba ligi utabaki kwenye heshima yake.. uefa hata Aston Villa aliwahi kubeba.. halafu kwa man city ni moja ya timu inayojenga fans wengi ulaya kwa sasa..

Narudia tena uefa ni game of chance, tunajua ni jinsi gani mumeumia kwa kuikosa EPL.
Vishoka wa mpira watakubishia tu.
 
Unawajua...hakuna haja
Hapo sas natiki kuwa ni umbea 100% ndio maana unawaogopa kuwataja
Wewe kama sio mmbea ungekamilisha alegations zako kwa kuwataja kwenye mchango wako wa kwanza sio mpaka uulizwe
 
Mashabiki wa Liverpool ni wanafiki na wambea sana na ndio maana kule kwao wamegawanyika gawanyika kwa sababu ay umbea mwingi na much know nyingi sana
 
Uhalisia wa kubeba ligi utabaki kwenye heshima yake.. uefa hata Aston Villa aliwahi kubeba.. halafu kwa man city ni moja ya timu inayojenga fans wengi ulaya kwa sasa..

Narudia tena uefa ni game of chance, tunajua ni jinsi gani mumeumia kwa kuikosa EPL.
Real Madrid na udhaifu wake kwa Barcelona kabeba miaka 3 mfululizo na akirudi ligi ya nyumbani anafyata mkia kwa Barcelona
Liverpool na udhaifu wake kwa Man City Kabeba wakati Mancity anatolewa na kibonde Spurs.
Ligi yeyote inayotegemea mtoano ndio ubebe kombe is just an ordinary league na ni ujinga mtu kutoka mtaani na kujigamba eti sisi vidume wa Ulaya, Nyumbani kwako umeshindwa kuwa kidume halafu una guts ya kutamba nje, ukirudi home unafyata mkia
Crystal clear UCL na makombe ya ligi zote za mtoano ni makombe ya kubahatisha tu hata urembe namna gani itabaki hivyo
 
"ALISIKIKA MLEVI MMOJA AKISEMA HAYO ULIYOYAANDIKA"

Swali ni Je Kwanini na nyinyi Musibahatishe?
Au bahati ipo kwa wengine tu lakini si kwa Chelsea?

Maneno ya Mkosaji hayo yenu

Kama kubeba CL ni kubahatisha! Next season bahatisheni na Nyinyi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom