Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kazi sis imeisha kama Napoli tu,

Ila Frankfurt ujipange hiyo game 50/50

Maana Leo umewin kuwazuia wasifanye attempt za kutosha,

Kama umeangalia mpira ,bas wale hata kwako wanakuweka vzr,
Wale wakija Darajani wanakufa tatu moja.
 
Sisi fainali yeyote atakayekuja tunapiga tu ..haijalishi ni arsenal au Valencia...

Karibu sana ndugu yangu...
Kila siku nakwambia huna uwezo WA kumfunga arsenal ,tena linapokuja swala LA kikombe,

Sarri kama klopp tu, kwenye vikombe bado sana,

Halafu upambane kwa Frankfurt wanakuja kucheza hapo hapo kwako,

Final itakuwa ngumu akicheza Arsenal vs Frankfurt

Sio na Chelsea, mnakatika sana hapo kwa jojino,

Kama Leo mech kaibeba loftus cheek,
 
Acha kutembea na matokeo mfukoni ,hiyo game bado 50/50

Wale wanajua kushambulia halafu wana watu hatari,

Subiri mpite kwanza, Arsenal tumeshatanguliza mguu mmoja final,
Usijali mkuu wale watakufa nyingi tu ..sisi hatuna budi kubeba europa mkuu..
 
Usijali mkuu wale watakufa nyingi tu ..sisi hatuna budi kubeba europa mkuu..
Unapenda kujifariji,

Game bado mbichi hiyo, ungewafunga Leo , ila 1-1 ndio kwanza mech bado,

Halafu ujue wana watu hatari ,hebu waheshimu Frankfurt ,au hujaangalia mpira leo
 
Dah kwahiyo hata ligi haijaisha ,ushaona nyau nyau ,bora uhame looserpool uhamie darajan

Hahaaaaaaaaaaa
Nimeshakwambia na Narudia tena wewe huna timu na hilo unalijua vizuri tu Europa huchukui na Top 4 huingii ...........SAVE HII.
 
Nimeshakwambia na Narudia tena wewe huna timu na hilo unalijua vizuri tu Europa huchukui na Top 4 huingii ...........SAVE HII.
Hata juzi ulisema mtaifunga barca ,matokeo yake ukabaki unalia tu,

Kwahiyo mm nishakuzoea,

Sasa hivi umekuja na ngonjera nyingine

30yrs loading.........

Msimu huu unatoka kapa ,
 
Nimeshakwambia na Narudia tena wewe huna timu na hilo unalijua vizuri tu Europa huchukui na Top 4 huingii ...........SAVE HII.
Kisa messi umeikimbia liver

Hahaaa nilikwambia usimtukane messi
, ukaleta ujuaji,

Haya sasa kapindue meza ya nyanya an field

Liver ni man u iliyochangamka tu,
 
Hata juzi ulisema mtaifunga barca ,matokeo yake ukabaki unalia tu,

Kwahiyo mm nishakuzoea,

Sasa hivi umekuja na ngonjera nyingine

30yrs loading.........

Msimu huu unatoka kapa ,
Sawa mimi natoka kapa ila wewe utatoka na madumu ya gongo kama unapigia hesabu Europa hayo mawazo futa Hazard atalala na wewe mbele.
 
Sawa mimi natoka kapa ila wewe utatoka na madumu ya gongo kama unapigia hesabu Europa hayo mawazo futa Hazard atalala na wewe mbele.
Hahaaaaa eti hazard ,kwanza wamemalizana na wajeruman?au unaota ...

Unajifanya mtabiri mbona kwa barca ulifeli, kapindue meza ya nyanya jumanne

Na msimu huu utahama had jf, kama sasa hivi umehamia Chelsea kisa messi
 
Sawa mimi natoka kapa ila wewe utatoka na madumu ya gongo kama unapigia hesabu Europa hayo mawazo futa Hazard atalala na wewe mbele.
Kwakuwa umehama Liverpool na umejitangaza BAADA ya kuona mess kafanya yake na pep hana utan na EPL,

Basi kwa heshima ya Ollachuga Oc nakutunuku hii jezi

FB_IMG_1556566367432.jpeg
 
Hahaaaaa eti hazard ,kwanza wamemalizana na wajeruman?au unaota ...

Unajifanya mtabiri mbona kwa barca ulifeli, kapindue meza ya nyanya jumanne

Na msimu huu utahama had jf, kama sasa hivi umehamia Chelsea kisa messi
Nimejikuta natamani tu ningekuwa Europa ili nikunyooshe vizuri maana zile 5 star hazikukutosha basi tu.
 
Nimejikuta natamani tu ningekuwa Europa ili nikunyooshe vizuri maana zile 5 star hazikukutosha basi tu.
Kamnyooshe Barcelona

Ohoo Nina timu nzuri ,haya kiko wapi unatoka na WORKDONE=0

wewe ni sawa ni Manchester iliyochangamka
IMG-20190502-WA0018.jpeg
 
Nimejikuta natamani tu ningekuwa Europa ili nikunyooshe vizuri maana zile 5 star hazikukutosha basi tu.
Unahamia Chelsea unataka uwatie wenzako gundu tu,

BAADA ya kuitia gundu Liverpool kwenye EPL na UCL, unaikimbia ,

Wakukaribishe tu ila wajue utwatia gundu
 
Nimejikuta natamani tu ningekuwa Europa ili nikunyooshe vizuri maana zile 5 star hazikukutosha basi tu.
Good bye 2018/19
Welcome 2019/20

Congratulation Man City kwa EPL
Congratulation Barca/Ajax kwa UCL
Congratulation Arsenal kwa UEROPA LEAGUE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom