Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kati ya Timu ambayo ni innocuous kweny competetion ya Uefa ni Chelsea!!
Kila mtu ana uhuru na haki ya kutoa maoni yake kwa kile anachowaza na kuona ni sahihi. Kwa hiyo tunaheshimu mawazo yenu sana.

Kejeli zenu zimeeleweka.
Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????

Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?

Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.
 
Madogo wa mkopo wameanza kurejea kutoka kwenye timu zao. Hope to see many more of them. @Cobham

Pia naona CHO naye kaanza mazoezi mepesi baada ya kuwa nje kwa majeraha.
 

Attachments

  • Screenshot_2019-05-20-23-27-21.jpeg
    Screenshot_2019-05-20-23-27-21.jpeg
    55.1 KB · Views: 28
  • IMG_20190521_071201_514.jpeg
    IMG_20190521_071201_514.jpeg
    65.8 KB · Views: 21
Watu wa Liverpool bana, yaani umesahau ya kwako na Tottenham unafata ya Chelsea vs arsenal

Sitaki tuanze 1980 utasema Nazungumzia Historia, Nataka tuanzie katika Kipindi cha Misimu 5 tu iliyopita Spurs kamfunga Liverpool Mara ngapi? Na yeye Kafungwa Marangapi Home and Away?

Yule ni mteja wetu wa Kudumu sasa wasiwasi nimtilie kwa kitu gani?
 
Sitaki tuanze 1980 utasema Nazungumzia Historia, Nataka tuanzie katika Kipindi cha Misimu 5 tu iliyopita Spurs kamfunga Liverpool Mara ngapi? Na yeye Kafungwa Marangapi Home and Away?

Yule ni mteja wetu wa Kudumu sasa wasiwasi nimtilie kwa kitu gani?
Mkifungwa mnaanza kumlalamikia klop

Hii tabia ya kujipa ushindi kabla ya match iliponza wengi
 
Mkuu yani hapo umewatukana Chelsea tusi kubwa sana! innocuous????

Harmless?
Inoffensive?
Toothless tiger?
Headless chicken?
Legless tiger?

Hizo ni baazi ya tafsiri za tusi lako.. Kwa kiswahili tunasema Haina Madhara... Namuona Arsenal akichukuwa kombe kiboyaboya.


mhh!!
Exactly!! Hii team Arsenal hana presha hata kidogo!!

Mimi ni mtu wa mahesabu
If Chelsea is on top of Arsenal and Ma u in EPL table and provided that
Chelsea is
  1. Harmless?
  2. Inoffensive?
  3. Toothless tiger?
  4. Headless chicken?
  5. Legless tiger?
Fill the blanks below Arsenal is
  1. ______________________________________
  2. ______________________________________
  3. ______________________________________
  4. ______________________________________
  5. ______________________________________

    and also Man United is
  6. ______________________________________
  7. ______________________________________
  8. ______________________________________
  9. ______________________________________
  10. ______________________________________
Nafikiri hayo mahesabu sio magumu kwa akina Honesty na King Ngwaba kujaza
 
Sarri yuko matatani Stanford Bridge
Senior Chelsea players will look to leave the club this summer if Maurizio Sarri remains in charge, according to reports. Sarri’s future at Stamford Bridge is up in the air, as Chelsea prepare to take on Arsenal in the Europa League final. The Italian is very unpopular among a section of Chelsea fans and has faced criticism for his style of play in his first season in London. The Evening Standard claim no decision has been taken about Sarri after he led the club to a third-place finish in the Premier League.
 
Kama Geroud atakuwa ameongezewa mkataba basi ni khabari njema sana. Mchizi afungi magoli lakini nyota yake inang'a sana kwenye kubeba makombe...

Alipokuwa arsenal kabeba FA mbili, community Shield mbili, France bila hata shot on target kabeba World Cup, kaja Chelsea msimu wake wa kwanza kabeba FA, msimu wake wa pili kafika fainali mbili, carabao na Europa ...mimi nadhani tutembelee nyota yake..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom