Chelsea haitaangaika kuondoka kwa hazard, namwamini sana Pulisic
Yaqezekana hata baadhi ya mashabiki wa Madrid waliamini Asensio, Mariano au Vinicius wanaweza kuziba pengo la Ronaldo lakini ni nini kilichotokea. Wamejitahidi lakini kazi sana kuziba pengo la mtu.

Pulisic bado anakua lazima kuna vitu anakosa hawezi kuingia moja kwa moja kuziba pengo. Anahitaji muda kuprove what he can do to give his best for the club. He is 20 now lets expect at least after the ban has expired. Yaan baada ya msimu ujao ndio tunaweza kupata matunda yake. Otherwise tutatoa lawama kama tulizompa Jorginho.
 
Niamini Mimi kumfananisha Pulisic na asensio ni kumkosea heshima
 
Pulisic ni winger wa kawaida bado hajafikia kiwango cha kum-replace Hazard kwa wakati huu, Njia nzuri ya luziba pengo la Hazard ni kuiunda timu iwe na chemistry nzuri. Ila kama approach ni kuziba pengo la Hazard haitawezekana. Ndio maana Zinedine Zidane kaamua kuunda timu upya ili kufukia pengo al CR7
 
Timu za Chelsea legends, John Terry na Frank Lampard kucheza finali za Championship jumatatu ya tar 27 May 2019
Atakayeshinda atakuwa promoted kuja EPL
Kwa maana hiyo mwakani tutakuwa na Aston Villa au Derby County kwenye EPL
 
Pulisic ni winger wa kawaida bado hajafikia kiwango cha kum-replace Hazard kwa wakati huu, Njia nzuri ya luziba pengo la Hazard ni kuiunda timu iwe na chemistry nzuri. Ila kama approach ni kuziba pengo la Hazard haitawezekana. Ndio maana Zinedine Zidane kaamua kuunda timu upya ili kufukia pengo al CR7
Jamani tusiwe kama hatujui mpira, hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Hata hazard alipokuwa anaingia Chelsea hakuwa kama alivyo Leo

Ila nilimwamini mapema kutokana na style yake ya kucheza

Hata Pulisic Nina imani naye ataingia kwenye team na kuanza kuonyesha kile alichonacho
 
Joto la FA leo saa moja usiku kati ya Man City na Watsford
  1. Ma U wanaomba Man City washinde ili wao waingie kwenye group stage Europa,
  2. Wolves wao wanaomba Man City washinde ili na wao washiriki Europa league kwa mara ya kwanza tangu 1980
  3. Ikiwa Watsford watashinda FA, Ma U itawabidi waanzie kwenye mchujo na Wolves hawatashiriki kabisa
 
Jamani tusiwe kama hatujui mpira, hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Hata hazard alipokuwa anaingia Chelsea hakuwa kama alivyo Leo

Ila nilimwamini mapema kutokana na style yake ya kucheza

Hata Pulisic Nina imani naye ataingia kwenye team na kuanza kuonyesha kile alichonacho
Na ndio maana nikaserma kwa wakati huu bado
 
Changamoto za Fainali ya Europa Legue 29 May 2019, Baku
Arsenal VS Chelsea
Nusu ya tiketi 12,000 walizopewa Arsenal an Chelsea zarudishwa kwa sababu ya ugumu wa mashabiki kufika Baku. Kocha wa Arsenal alilalamikia uamuzi mbaya wa kupanga fainali za Europa kufanyikia Baku na matokeo yake ndio haya.
Kwanza mwanzoni walilalamikia tiketi ni chache, uwanja una uwezo wa kubeba watu 69,000, Arsenal walipewa 6,000 na Chelsea 6,000. Sasa wamerudisha tiketi 6,000 kwa kukosa wateja, na sababu kuu watu wanaona ni ngumu kufika Baku. Kwa ndege inachukua masaa mawili kufika huko na unaweza ukakosa ndege kwa sababu ni Baku ni mji usio maarufu
 
Kama tungekua tunafanya usajili kwangu ningependekeza huyu dogo awe wa kwanza kusajiliwa maana siyo kwa moto wake. Ni attacking midfield mostly no 10 anacheza Beyern Leverkusen japo kwa mfumo wa Sarri unaweza kumpa shida ila anakua anasaidia kwenye kuswitch mfumo pale inapohitajika. Atasaidia sana hasa kipindi ambacho RLC kaumia.

Stats zake ndani ya msimu huu 18/19 amecheza michezo 41 mpaka leo hii amefunga magoli 19 katoa assist 7 kala kadi 2 za njano hana umeme. Hayo ni katika umri wa miaka 19.

Mpaka nawaonea wivu wanaosajili
gettyimages-1140795061-2048x2048.jpeg
gettyimages-1062005562-2048x2048.jpeg
 
Changamoto za Fainali ya Europa Legue 29 May 2019, Baku
Arsenal VS Chelsea
Nusu ya tiketi 12,000 walizopewa Arsenal an Chelsea zarudishwa kwa sababu ya ugumu wa mashabiki kufika Baku. Kocha wa Arsenal alilalamikia uamuzi mbaya wa kupanga fainali za Europa kufanyikia Baku na matokeo yake ndio haya.
Kwanza mwanzoni walilalamikia tiketi ni chache, uwanja una uwezo wa kubeba watu 69,000, Arsenal walipewa 6,000 na Chelsea 6,000. Sasa wamerudisha tiketi 6,000 kwa kukosa wateja, na sababu kuu watu wanaona ni ngumu kufika Baku. Kwa ndege inachukua masaa mawili kufika huko na unaweza ukakosa ndege kwa sababu ni Baku ni mji usio maarufu
Kwani huko Baku hakuna fans wa Chelsea na Arsenal? Wataujaza uwanja tu
 
Kama tungekua tunafanya usajili kwangu ningependekeza huyu dogo awe wa kwanza kusajiliwa maana siyo kwa moto wake. Ni attacking midfield mostly no 10 anacheza Beyern Leverkusen japo kwa mfumo wa Sarri unaweza kumpa shida ila anakua anasaidia kwenye kuswitch mfumo pale inapohitajika. Atasaidia sana hasa kipindi ambacho RLC kaumia.

Stats zake ndani ya msimu huu 18/19 amecheza michezo 41 mpaka leo hii amefunga magoli 19 katoa assist 7 kala kadi 2 za njano hana umeme. Hayo ni katika umri wa miaka 19.

Mpaka nawaonea wivu wanaosajiliView attachment 1101319View attachment 1101328
Sio kila mchezaji anayefanya vizuri sehemu anafiti kuchezea Chelsea mkuu, mfumo wetu ni tofauti kabisa
 
Nini maana ya kusajili.? Unasajili kulingana na mahitaji yako si ndio.? Hapo juu nimeelezea mahitaji ya timu na jinsi atakavyo saidia kuyamaliza.

Unataka kusajili wasiofanya vizuri au sijakuelewa.
Sio kila mchezaji anayefanya vizuri sehemu anafiti kuchezea Chelsea mkuu, mfumo wetu ni tofauti kabisa
 
Keylor Navas (GK) leo kawaaga washabiki Real Madrid pale Barnabeu baada ya kutumbuliwa 2-0 na Real Beatis
Hii ina maana GK chagupo namba moja wa Zinedine sasa ni Thibaut Courtois

Stats Category

Keylor Navas

Thibaut Courtois

Fixtures played

21

35

Goals Conceded

21

48

Saves

50

94

Minutes Played

1920

3150
 
Back
Top Bottom