Hyo fainali hata sito angalia labda zola apa ge kikosi...auba na lacca mmmmmh
Uko sahihi bro.Mkuu ban ya nini ..mimi na uhakika tukibaki na Sarri hata misimu miwili tunaeza jenga binge la timu..
Hakuna cha kocha wala nini. Hivi ile PSG wampe Sarri ingeshindikana kubeba Lig1?Tusikate tamaa added advantage tuliyonayo Hazard, Luiz, azpi, willian,Ng'olo wamezoea kuchukua vikombe vizito tofauti na wenzetu hivyo wanajua uzito wa kombe kubwa na fainali zinachezwaje, wenzetu walichotuzidi ni kocha tu
Kuna muda mpira hauhitaji formation 1 tu au philosophy ya klabu bali huhitaji tactics, hicho kitu bado Sari hajawa nacho, kwa mimi Wachezaji wenyewe ni 7bu kubwa kufikia hapo maana wanajituma sana.Uko sahihi bro.
Mkuu habari za man city, angalia usije ukakosa EPL maana itakuwa aibu ya mwakaPlastic fan. Kocha ndo msimu wake wa kwanza, hakuwa na pre season na wachezaji, anatumia wachezaji aliwakuta na wengine hawafai aina ya falsafa ya mpera, ameshasajili Jogihno pekee, amesecure nafasi ya champions league, ameifikisha timu fainali ya Europa, amewezesha wachezaji watatu wa academy kuwa kwenye first 11 team ya Chelsea, amewaimprove wachezaji ... Hivi unataka nini zaidi? Guadiola msimu wake wa kwanza hata nafasi ya nne aliipata kwa mbinde. Msimu wake wa pili ndiyo kaamua kusafisha kikosi kizima na ndo tumeanza kuiona Man City hii ambayo ni tishio.Klop anafanikiwa baada ya misimu miwili tena kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili.
Be realistic man. Act like a person who has brain
Aisee, Chelsea imefungiwa two transfer windows na siyo miaka miwili. Chelsea tuna kazi na aina ya mashabiki wetuKama tumefungiwa usajili miaka miwili yote sioni maana yoyote ile, bodi ya usajili ya Chelsea ni jipu kubwa mno[emoji30]
4 3 3 ni mpangilio tu wa wachezaji uwanjani ila siyo kwamba ni mbinu. Unaweza kutambua mbinu za timu kwa kuangalia rythm ya timu inapokuwa inatembea na mpira na pale inakuwa inakaba wakati adui ana mpira. Kwa hiyo kama huangalii mpira kwa jicho la kimbinu kuna vitu huwezi kuviona au kuvielewaKuna muda mpira hauhitaji formation 1 tu au philosophy ya klabu bali huhitaji tactics, hicho kitu bado Sari hajawa nacho, kwa mimi Wachezaji wenyewe ni 7bu kubwa kufikia hapo maana wanajituma sana.
Guadiola msimu uliofata alifanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kununua wachezaji aliowataka, Chelsea tumepigwa transfer ban hatutaweza kusajili mchezaji yeyote, itamlazimu sarri aendelee kuwatumia wale wale hata kama hawako kwenye plan zake kitu ambacho mm naona msimu ujao itakua ngumu kutoa ushindani kwenye mbio za ubingwaPlastic fan. Kocha ndo msimu wake wa kwanza, hakuwa na pre season na wachezaji, anatumia wachezaji aliwakuta na wengine hawafai aina ya falsafa ya mpira anaofundisha, ameshasajili Jogihno pekee, amesecure nafasi ya champions league, ameifikisha timu fainali ya Europa, amewezesha wachezaji watatu wa academy kuwa kwenye first 11 team ya Chelsea na hii haijawahi kutokea, amewaimprove wachezaji ... Hivi unataka nini zaidi? Guadiola msimu wake wa kwanza hata nafasi ya nne aliipata kwa mbinde. Msimu wake wa pili ndiyo aliamua kusafisha kikosi kizima na ndo tumeanza kuiona Man City hii ambayo ni tishio.Klop anafanikiwa baada ya misimu miwili tena kwa kutumia hela nyingi kwenye usajili kwenye msimu wake wa 3.
Be realistic man. Act like a person who has brain
Watu tangu mwanzo walichanganya two transfer windows na two years. Tangu mwanzo ni mwaka mmoja wenye two windows. Hata hivyo tutapeleka kesi mahakama ya sport, bado tunaweza kuwahi.Aisee, Chelsea imefungiwa two transfer windows na siyo miaka miwili. Chelsea tuna kazi na aina ya mashabiki wetu
Uzuri wa Zapa ni kujituma uwanjani kama anavyojituma Emerson ila wote wawili sio wazuri sana kwenye kutoa cross,hahaha dah yaani baasi zappacosta ni mzuri kushambulia defence ni mpaka aamke poa
4 3 3 ni mpangilio tu wa wachezaji uwanjani ila siyo kwamba ni mbinu. Unaweza kutambua mbinu za timu kwa kuangalia rythm ya timu inapokuwa inatembea na mpira na pale inakuwa inakaba wakati adui ana mpira. Kwa hiyo kama huangalii mpira kwa jicho la kimbinu kuna vitu huwezi kuviona au kuvielewa
Sarri ni kocha mzuri kwenye formation ila mbinu ni ziro X1000. Njia rahisi ya kujua kama kocha ana mbinu4 3 3 ni mpangilio tu wa wachezaji uwanjani ila siyo kwamba ni mbinu. Unaweza kutambua mbinu za timu kwa kuangalia rythm ya timu inapokuwa inatembea na mpira na pale inakuwa inakaba wakati adui ana mpira. Kwa hiyo kama huangalii mpira kwa jicho la kimbinu kuna vitu huwezi kuviona au kuvielewa
Wewe ndo mwenye wasiwasi
Messi alizuiwa kwa njia gani.?
Lakini namuamini Sarri katika kutengeneza wachezaji kwa gharama ndogo. Napoli ilijengwa na Sarri kwa pesa kidogo tafauti na timu nyingine zinavyofanyaGuadiola msimu uliofata alifanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kununua wachezaji aliowataka, Chelsea tumepigwa transfer ban hatutaweza kusajili mchezaji yeyote, itamlazimu sarri aendelee kuwatumia wale wale hata kama hawako kwenye plan zake kitu ambacho mm naona msimu ujao itakua ngumu kutoa ushindani kwenye mbio za ubingwa
Watu tangu mwanzo walichanga tow transfer windows na two years. Tangu mwanzo ni mwaka mmoja wenye two windows. Hata hivyo tutapeleka kesi mahakama ya sport, bado tunaweza kuwahi.
We mwenyewe una wasiwasi na timu ndio maana mechi hukutizama ,penalty wamepiga jana saa saba kasoro usiku umenijibu leo saa tano ,kama si uoga nn.
Kiufupi sarri amefanya kazi yake sawasawa, katutoa tulipokuwa msimu ukiopita katuleta tunapostahili kuwa, Chelsea sio team ya kukosa champions league hata Mara moja
Ndio uoga wenyewe huo.Kuangalia mpira hakuna uhusiano na kupost humu jukwaani