Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,827
- 40,632
Kuna uwezekano timu za London zote zikachukua UEFA na Europa tittles mwaka huu
Mkuu ban ya nini ..mimi na uhakika tukibaki na Sarri hata misimu miwili tunaeza jenga binge la timu..
Wale arsenal tunawala vizuri mkuu ..Mara kumi wao kuliko huyu mjerumani....arsenal mapema tu ..tunanyanyua kwapa..
The opposite is true. Chelsea waliokoa mbili za wazi, Chelsea walikuwa na nidhamu golini baada ya uzembe ule wa goli la kusawazishaIla madogo wa ujerumani wamekosa nafasi za wazi kabisa ..yani Leo ilitakiwa washinde ila wamezembea sana
Arsenal na Chelsea ni timu zilizofanana, wachezaji hawajitumi labda siku wakiamka vizuri. Kwa hiyo hiyo fainal atakayechukua ni yule aliyeamka vizuri. Wote wakiamka vizuri itakuwa shughulinaona mmekutana wenye maneno mengii wakuu, hongera siku hizi Aroon umejifunza kidogo football ni mchezo unaotegemea facts nyingi sana hasa mchezo wa fainali yoyote anashinda atakayeamka vizuri, atakayetumia nafasi pia atakayekuwa na bahati
We ni Chelsea na hujui shida ya Chelsea mkuu?
Chelsea shida sio kocha wala kupanga team Bali hatuna mabeki wa kati viongozi na wala hatuna striker wa maana kwa sasa
Suluhisho kwa kuwa tumefungiwa basi warejee Zouma, tamy Abraham, na michy batshuay.
Kumbuka pia tuliwakosa watu muhimu Rudiger na Ngolo
sio wachezaji hawajitumi mifumo mibovu yao makocha wawili ni tatizo hawana comebacka hawwan plan bArsenal na Chelsea ni timu zilizofanana, wachezaji hawajitumi labda siku wakiamka vizuri. Kwa hiyo hiyo fainal atakayechukua ni yule aliyeamka vizuri. Wote wakiamka vizuri itakuwa shughuli
hahaha dah yaani baasi zappacosta ni mzuri kushambulia defence ni mpaka aamke poaTatizo dogo la Zapacosta sio clinical kwenye crosses kama Emerson. Ndio tofauti ya Emerson na Alonso, Luiz pia kacheza vizuri sana ukiondoa ile blunder iliyozaa goli la kusawazisha. Katibua kama chances nne hivi za hao madogo bila kusahau lile goli la wazi dk ya 100
Kama tumefungiwa usajili miaka miwili yote sioni maana yoyote ile, bodi ya usajili ya Chelsea ni jipu kubwa mno[emoji30]Kiufupi sarri amefanya kazi yake sawasawa, katutoa tulipokuwa msimu ukiopita katuleta tunapostahili kuwa, Chelsea sio team ya kukosa champions league hata Mara moja
Kuna uwezekano timu za London zote zikachukua UEFA na Europa tittles mwaka huu
Tusikate tamaa added advantage tuliyonayo Hazard, Luiz, azpi, willian,Ng'olo wamezoea kuchukua vikombe vizito tofauti na wenzetu hivyo wanajua uzito wa kombe kubwa na fainali zinachezwaje, wenzetu walichotuzidi ni kocha tu
Sijawahi kuwa na pressure kubwa na mechi za Chelsea kama hii ya jana, angalau ushindi wa penalty umetupa faraja. Kepa is a wonderfull Keeper, akibakia Chelsea muda mrefu atakuja kuwa one of the legendNimefurahi japo kishingo upande, fainali sitahitaji tena kuwa na presha kama hii, utanipatia matokeo tukijaliwa uzima[emoji16]
Luiz ni mzito sana kiukweliJapo Luiz alifanya kosa kwenye goli la kusawazisha lakini baadaye alikuja kujirekebisha na tactical move nyingi alizitibua yeye kabla ya kuzuia goli la wazi dk ya 100. Generally Luiz ni mzito na mipira ya counter attack haziwezi
Ermeson, Christensen na Azpilicueta wamenifurahisha sana kwa umahiri wao mechi ya janaTatizo dogo la Zapacosta sio clinical kwenye crosses kama Emerson. Ndio tofauti ya Emerson na Alonso, Luiz pia kacheza vizuri sana ukiondoa ile blunder iliyozaa goli la kusawazisha. Katibua kama chances nne hivi za hao madogo bila kusahau lile goli la wazi dk ya 100
Sijawahi kuwa na Imani na Sarri, frankfut wanatusumbua Chelsea daahh
Chelsea fans hamna shukrani. Nyie c 3 kweny ligi na next sizoni mnatoka yuropa mnahamia ucl na kombe mnaeza beba! Mpo pazuri coz ya kocha
Nawaambiaga siku zote kuwa Sariball inatukosti sana Chelsea, haya ss dkk 120 hizo cjui kwanini Ollachuga anajifanyaga ana makengeza kuhusu hili
Kocha hawezi kuwa hana plan akasecure third position, akaifikisha timu kwenye fainali Europa katika msimu wake wa kwanza. Kumbuka Man U, Arsenal walipo. Dont be plasticMda gani?
Kocha hajuagi umuhimu wa match huyu,hana plan yoyote mbinu zake ni zile zilw, approach za game ni zile zile yani bora hata mchezaji ajitolee kuwa kocha sio huyo punguani
Chelsea naona nyuso za wachezaji wenu na kocha wenu zimejaa wasiwasi.
So plasticHata sijisumbui kuangalia penati maana nawaamini Wajerumani wako vzr sana kupiga penati kuliko Chelsea[emoji30]