Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,931
- 27,186
We jamaa hebu kuwa na akiba ya maneno. Unakujaga kukimbia jukwaa kwa sababu hizi. Mpira hautafsiriki kiivyo bhana.Toka Lin kwao hatari, je watamzuia Arsenal asipate goli ?
Maana kipind cha pili wameomba mpira uishe,halafu Valencia anacheza mpira lain sana
Mgumu ni Napoli na Frankfurt ,kama huna energy huponi,
Unataja Valencia, wanacheza Spanish football,walain sana
We sema utaenda kupambana lakini usijihakikishie ushashinda

