Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Afadhali tepata holi la ugenini. Kazi iliyobaki ni lwemda kuweka heshima darajani. Tuwazuie wasifunge wao.
Kwa sevila bado game haijaishaNaona Majirani zetu wametanguliza mguu mmoja ndani. 3-1 nyumbani kwake.
Hao bado wana kazi nzito ..Valencia akipata goli mbili apo arsenal ndo kwa heri..Naona Majirani zetu wametanguliza mguu mmoja ndani. 3-1 nyumbani kwake.
Mkuu nadhan ni Valencia sio Sevilla.Kwa sevila bado game haijaisha
Hahahahahhahaha mzee baba hili tunazuia ..hatujafungwa gemu hata moja EuropaHii ndoo EUROPA LEAGUE mshindwe wenyewe tu Hamna timu ya kuwazuia tena.




Hiyo game bado mkuu hao jamaa wakiwa pale Mestela goli 2 ndogo sana.Naona Majirani zetu wametanguliza mguu mmoja ndani. 3-1 nyumbani kwake.
Hiyo game bado mkuu hao jamaa wakiwa pale Mestela goli 2 ndogo sana.
We unachowaza ni valencia kupata goli 2 tu ila arsenal kupata goli kwako haliko hilo !! Kwataarifa yako wanakufa tena palepale mestallaHao bado wana kazi nzito ..Valencia akipata goli mbili apo arsenal ndo kwa heri..
Mimi kwanzia leo mpaka siku mnachukua hii ndoo nitawasapotiHahahahahhahaha mzee baba hili tunazuia ..hatujafungwa gemu hata moja Europa![]()
Ushabiki mwingine, mpira umeangalia?Hiyo game bado mkuu hao jamaa wakiwa pale Mestela goli 2 ndogo sana.
Kukaza lazima,hata wewe ukaze, maana nadhan umeona mziki wa Frankfurt, wanauwezo kabisa wakupata goli kwakoYeah naelewa mkuu. Wakakaze tu.
Wanaenda kufa TENA, maana hawana mpira wakutishaKwa sevila bado game haijaisha
Valencia ameshatokaHiyo game bado mkuu hao jamaa wakiwa pale Mestela goli 2 ndogo sana.
Kazi sis imeisha kama Napoli tu,Hao bado wana kazi nzito ..Valencia akipata goli mbili apo arsenal ndo kwa heri..
BAADA ya kuona matumain ya kubeba taji lolote yameyeyuka umehamia Chelsea na unawadanganya kabisaHii ndoo EUROPA LEAGUE mshindwe wenyewe tu Hamna timu ya kuwazuia tena.
Toka Lin kwao hatari, je watamzuia Arsenal asipate goli ?Valencia kwao ni hatari mno tusubiri tuone