talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Hivi Victor Moses imekuwaje? Ndo kusema Kocha hajaona umuhimu wake?nakumbuka alitumika sana misimu miwili iliyopita.
United sidhani kama tutamaliza hata ndani ya top 4Ashinde kwanza ,EPL, haieleweki ,sasa hiv hata man u ana uhakika na top 3
Weka akiba ya maneno ,ni rahis kumpiga lei lkn sio Watford ,wana viungo wazuri sana wenye nguvu, rejea mech zao wanavyotawalaga kiungo,Sasa hao Watford ni kuhakikisha tunawapiga si chini ya 4. Yan tukidraw tu shughuli yetu imeisha kwa sababu Leicester kwake tunaweza kulamba lolo kule. Brendan Rogers siyo mtu yule.
Kwa maajabu ya EPL, sitashangaa akiingia top 4, kwasababu tot ana 70, na mech ya mwisho yupo na Everton ,na tot ana majeruhi ,na kadi ya Leo ya son , halafu Everton wanahitaji kumpiku Wolves ambaye game ya mwisho anacheza na Liverpool ili waende europaUnited sidhani kama tutamaliza hata ndani ya top 4
Ila hata watford sio wanyonge sana...tusubiri
Watford ndio timu ninayoamin INA viungo wazuri ,mech yao na man u walimyanyasa kiungo cha pogba matic na Herrera hapo OT,United sidhani kama tutamaliza hata ndani ya top 4
Ila hata watford sio wanyonge sana...tusubiri
Weka akiba ya maneno ,ni rahis kumpiga lei lkn sio Watford ,wana viungo wazuri sana wenye nguvu, rejea mech zao wanavyotawalaga kiungo,
Mkuu Watford sio warahisi kivile japo tuliwafunga 2-1 huko kwao. Ni timu iliyo juu ya ligi na wanafight pos no. 7 mimi nawaona wao wako hatari kama hao mbweha kwa uzito unaofananaSasa hao Watford ni kuhakikisha tunawapiga si chini ya 4. Yan tukidraw tu shughuli yetu imeisha kwa sababu Leicester kwake tunaweza kulamba lolo kule. Brendan Rogers siyo mtu yule.
Na. saba wataenda tu Europa kama bingwa wa FA na Karabao cup wako na. 5 au 6 kama wako ndani ya top 4 watakaoenda Europa ni na. 5 na 6. Na pia kama bingwa wa Europa na UEFA atatoka top 4, namba 4 nae anaenda Europa kwa hiyo kuna hatari hata na. 6 asiende EuropaKwa maajabu ya EPL, sitashangaa akiingia top 4, kwasababu tot ana 70, na mech ya mwisho yupo na Everton ,na tot ana majeruhi ,na kadi ya Leo ya son , halafu Everton wanahitaji kumpiku Wolves ambaye game ya mwisho anacheza na Liverpool ili waende europa
Anaenda Europa MTU WA 6 kwa situation iliyopo, maana carabao alibeba city, FA cup yupo city na Watford, hivo kama FA atabeba city tena ,bas mtu wa 7 anaenda , akibeba Watford bas nafas inayoathirika ni ya 7,Na. saba wataenda tu Europa kama bingwa wa FA na Karabao cup wako na. 5 au 6 kama wako ndani ya top 4 watakaoenda Europa ni na. 5 na 6. Na pia kama bingwa wa Europa na UEFA atatoka top 4, namba 3 nae anaenda Europa kwa hiyo kuna hatari hata na. 6 asiende Europa
Hii ingetokea hapa bongo team pinzani Vs Simba kuna vyura wangevua nguo Kwa hasiraaa!Bournemouth VS Tottenham hotspurs
2 red card and down to 9 men
Only one short off target since halftime
From 65% possession to 45%
Scores 1-0
Goli dk ya 91
Chelsea washindwe wenyewe nafasi ya tatu kesho
5 na 6 sio constant, wanaenda tu hizo factor zingine zikiwafavor. Imekuwa mazoea kwenda kwa sababu wanaobeba karabao na FA mara nyingi wanakuwa ndani ya top 4. Kwa hiyo kwa mwaka keshop let say 5 na 6 wanaenda automatically kwenye group stage, namba saba ataanzia kwenye mchujo. Kama Watford watabeba FA, namba saba hataendaAnaenda Europa MTU WA 6 kwa situation iliyopo, maana carabao alibeba city, FA cup yupo city na Watford, hivo kama FA atabeba city tena ,bas mtu wa 7 anaenda , akibeba Watford bas nafas inayoathirika ni ya 7,
Nafas ya 5. & 6 hizo ni constant Europa,
Wolves,Everton ,Watford na Leicester wanakaza wakiwa na uhakika Watford FA atapigwa na city ,hivo nafas ya 7 atakayeipata ataenda Europa ,msimu uliopita alishika Burney ,anaenda Europa akatolowa kwenye play off
Wanaamini vipi maana inawezekana wewe ndo umewaelewa vibaya au possibly hujawaelewasitaki kuelewa maana wachambuzi wa sky bt na tv nyingine wanadai kitu amabacho nami naamini komaa na mahaba yako
Mkuu Watford sio warahisi kivile japo tuliwafunga 2-1 huko kwao. Ni timu iliyo juu ya ligi na wanafight pos no. 7 mimi nawaona wao wako hatari kama hao mbweha kwa uzito unaofanana
Ndicho nilichomaanisha mkuu5 na 6 sio constant, wanaenda tu hizo factor zingine zikiwafavor. Imekuwa mazoea kwenda kwa sababu wanaobeba karabao na FA mara nyingi wanakuwa ndani ya top 4. Kwa hiyo kwa mwaka keshop let say 5 na 6 wanaenda automatically kwenye group stage, namba saba ataanzia kwenye mchujo. Kama Watford watabeba FA, namba saba hataenda
Hii ingetokea hapa bongo team pinzani Vs Simba kuna vyura wangevua nguo Kwa hasiraaa!