Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unahamia Chelsea unataka uwatie wenzako gundu tu,

BAADA ya kuitia gundu Liverpool kwenye EPL na UCL, unaikimbia ,

Wakukaribishe tu ila wajue utwatia gundu
Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.
 
Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.
Kwan wanavyokula zile 2-0 emirates, FA cup,community shield ,hakuwepo?

Acha kupiga ramli, mm nakuangaliaga lakin najua mwisho utawakimbia wana Liverpool ,nilishawahi kukwambia wewe ni mamluki , unabisha, Leo baada ya kuona ukame unaendelea unawakimbia wenzako ,acha hizo ,shabik wakweli haami timu
 
Haya hili kombe Arsenal haliachi umefurahi sasa una gubu wewe subutu uchukue kombe Hazard labda avunjike kiuno.
Labda na Mimi zisianze double straikers na lt11

Lacazette & Aubameyang now have a combined 60 goals & assists this season.

Aubameyang 25 goals & 7 assists

Lacazette 18 goals & 10 assists.

#Arsenal
IMG-20190503-WA0006.jpeg
 
Kwan wanavyokula zile 2-0 emirates, FA cup,community shield ,hakuwepo?

Acha kupiga ramli, mm nakuangaliaga lakin najua mwisho utawakimbia wana Liverpool ,nilishawahi kukwambia wewe ni mamluki , unabisha, Leo baada ya kuona ukame unaendelea unawakimbia wenzako ,acha hizo ,shabik wakweli haami timu
Mimi kusema naisapoti Chelsea ichukue Europa nimekuwa mamluki............Wewe uliyeshabikia Barcelona jana tukuite vipi sio mamluki Tatizo ni moja nimekugusa sehemu ambayo kuna maslahi ambayo wewe unahitaji lazima ucharuke hahahahahahahahah
 
Aliyekwambia niliishabika barca nan?

Na wapi nilisema naishabikia barca?

Mm ni fan WA messi,, na nilikuonya uache kupiga ramli ,ukaona mm nakudanganya,

Haya kwakuwa umekuwa mpiga ramli,

Nipe matokeo ya an field jumanne, maana ya Chelsea hadi final unayo
 
Jumanne naenda Final na hauta amini nakwambia.
 
Hahaaaaa unapindua meza labda ya nyanya

Nadhan bado humuheshimu messi

Msipokaa vzr mnapigwa tena hapo hapo
Goli 3 kwa uwanja ANFIELD zinapatikana ndani ya Dakika 54 tu za First half
 
Hivi huyu Aron ni mshabiki kweli wa Arsenal au ni katumwa?
Wenzake wanaomboleza bado vipigo vitatu vitakatifu mfululizo yeye bado ana guts za kuja kifua mbele kutamba na katimu kalikojifia
 
Hivi huyu Aron ni mshabiki kweli wa Arsenal au ni katumwa?
Wenzake wanaomboleza bado vipigo vitatu vitakatifu mfululizo yeye bado ana guts za kuja kifua mbele kutamba na katimu kalikojifia
Kwa akili zake anajua gemu ya valencia kaimaliza muda utasema Tumwangalie tu anavyojipa kombe wakati ana wachezaji wawili tu wanaojua kombe ni nini
 
Sarri with his son jognho belive in pass witout attacking
Middle huna assist kila game unapotea unawapa kaz mabeki maana tackle na block ni chache kuliko za kante na cheek walioko mbele
Unapaswa kuelewa mfumo wa mwalimu kama huujui ujifunze uuelewe. Joginho ni register, siyo defensive midfielder wala attacking midfield.
 
Hivi huyu Aron ni mshabiki kweli wa Arsenal au ni katumwa?
Wenzake wanaomboleza bado vipigo vitatu vitakatifu mfululizo yeye bado ana guts za kuja kifua mbele kutamba na katimu kalikojifia
Kama kuomboleza inabid muomboleze nyie maana mlipigwa 4-0 then6-0

Tunazungumzia mech ya Jana ambayo tumeshinda 3-1

Kwa akil yako unadhan Valencia atamzuia Arsenal asiingie kamban?
 
Unapaswa kuelewa mfumo wa mwalimu kama huujui ujifunze uuelewe. Joginho ni register, siyo defensive midfielder wala attacking midfield.
sitaki kuelewa maana wachambuzi wa sky bt na tv nyingine wanadai kitu amabacho nami naamini komaa na mahaba yako
 
Toka Lin kwao hatari, je watamzuia Arsenal asipate goli ?

Maana kipind cha pili wameomba mpira uishe,halafu Valencia anacheza mpira lain sana

Mgumu ni Napoli na Frankfurt ,kama huna energy huponi,

Unataja Valencia, wanacheza Spanish football,walain sana
Basi poa mkuu tukutane finally basi
 
Be persemistic itakusaidia kupunguza pressure isiyo na lazima kama leceister anaweza kukufunga 3-0 unawezaje ku question integrity ya Valencia kukufunga 2-0 maneno kama haya yanasababisha watu kukuandama bila sababu matokeo yakiwa negative, hakuna Team ambayo inasema itafungwa lakini kuweka akiba kunamsaidia mshabiki this is football.
Kama kuomboleza inabid muomboleze nyie maana mlipigwa 4-0 then6-0

Tunazungumzia mech ya Jana ambayo tumeshinda 3-1

Kwa akil yako unadhan Valencia atamzuia Arsenal asiingie kamban?
 
Kukaza lazima,hata wewe ukaze, maana nadhan umeona mziki wa Frankfurt, wanauwezo kabisa wakupata goli kwako
Mimi kukaza lazima. Akisema aje kwangu atafute draw ya 0-0 si nakua nimetoka. Lazima nikaze asipate goli na mimi lazima nitafute goli za kutosha.
BAADA ya kuona matumain ya kubeba taji lolote yameyeyuka umehamia Chelsea na unawadanganya kabisa

Inaonekana hata Frankfurt hujawaona,

Hiyo game bado ni 50/50
Mkuu mbona unaogopa sana. Mtu anatoa maoni kulingana na kile anachofikiria yeye. Aya basi ngoja tuseme mshindwe nyie kuchukua ubingwa wa EL.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom