Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndio unavyojidanganya, wewe hapo nafas ya 3 utakaa kwa muda, ila baada ya wiki mbili ,utakuwa mnagombea namba 5 na 6 wewe na manyua

Kama huamin subir nitakufukulia kaburi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Endelea kupayuka tu sisi kwa sasa hatuna muda wa kupoteza kama assanal, manure..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Everton 1-0 Arsenal
Arsenal wana mechi 4 za ugenini na mbili za nyumbani. Hawa Arsenal ndio timu pekee kwenye top 6 yenye matokeo mabaya sana kwenye mechi za ugenini. Kazi ipo
Chelsea wana mechi 3 za ugenini na zote ngumu. dhidi ya Liver, Man u na wale mbweha wa Leicester City
Fixtures za Spurs na Man UTD ziko poa compared to us. So sasa kuna kazi kweli kweli kwenye nafasi hizi za 3 na 4
Wewe ni RIJALI....una akili
 
Mimi sipendi hii ya Marco Alonso kuanza, ana value gani huyu wakati ndie uchochoro. Pale wangemwacha tu Emerson
Naomba hii prediction isiwe kweli kwa Alonso
Kepa, Azpilicueta, David Luiz, Christensen, Alonso; Jorginho, Kante, Barkley; Hazard, Hudson-Odoi, Giroud
 
Hahahahaaa hii timu msimu ujao inaelekea daraja la pili championship

Kipa kepa pazia

Hazard bye bye baba jeni
Eden Hazard would become Real Madrid's most expensive signing - but would still be cheaper than Philippe Coutinho

Fifa wamewalima ban ya miaka miwili

NATABIRI HUMU KUTAKUWA UKIWA .....

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hivi wewe Aroon kuna binadamu humu huwa anakuelewa!
 
Kikosi kimetulia japo kwenye backline bora angekaa Christensen other than Luiz. Au aanze Christensen na Rudiger ila mradi tu kuona pair ipi ina manufaa zaidi
IMG-20190408-WA0022.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa Chelsea wanajua ratiba ya MUFC kuliko wanavyojua ya Chelsea.
Sisi hatuna kelele nyingi kama nyie. Kila Siku mna fanya uchambuzi, mnapanga kikosi na kupangua ..gemu zote kwa kuongea huwa munashinda. Lakini matokeo huwa tunabaki nayo sisi.

Tatizo la fans wa manure ni much know sana. Halafu waongeaji kweli kweli.

Sasa huku unakutana na fan wenye respect zao hatuna stats za kikumbavu kama za kwenu au za aasanal...

Unabwabwaja utadhani msimu huu kuna mechi umenifunga mkuu.😆😆
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom