Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,466
Eden Hazard kwa misimu kadhaa sasa ndiye mchezaji bora wa EPL hawa wengine wanakuja na kuondoka lkn yeye yuko kwenye form
Unaongea kinyume nn, kwamba liver lazima tuwakalishe nne hili wanalijua ss ni wazee wa kutibua mipangoHili kaburi nakuja kulifukua, nne hamzikosi hiyo Anfield sasa we subiri muone
Chelsea hii sio ile Chelsea kabla Abramovic hajafukuzwa Uingereza
Hii tabia ya kuongea baada ya dkk tisini sio tabia ya shabiki wa mpira wa miguu.Takwimu zilionyesha tulifanya vizuri..
Nyie kelele na bado mnapoteana.
Sisi Chelsea fans tunaongea baada ya Dakika tisini ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia ya kuongea baada ya dkk tisini mmeianza lini?Takwimu zilionyesha tulifanya vizuri..
Nyie kelele na bado mnapoteana.
Sisi Chelsea fans tunaongea baada ya Dakika tisini ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba kwani Chelsea yupo uefa.?1. Chelsea (huyu possibility ni kubwa sana sababu ana Leicester, Liverpool, Man Utd)
2. Man U ( sababu ana Chelsea, ana Man City)
1. Chelsea (huyu possibility ni kubwa sana sababu ana Leicester, Liverpool, Man Utd)
2. Man U ( sababu ana Chelsea, ana Man City)
Sisi tunabeba Europa tena bila kupigwa mkuu...sisi sio wa kutoka kapa kila msimu kama looserfool.Europa ni aina ya UEFA; hahahhaah
Kwa hiyo nyie na Arsenal hamna chenu next round
Ahhahaahah
Chel6 anacheza na timu gani?Uefa leo wakuu
Chel6 anacheza na timu gani?
Wakimweka Alonzo nyuma tutafungwa na hao Slavia ni wazuri na wana mbio sana ikija suala la counter attack ni kama Wolves. Kocha angemweka tu Emerson kwa sababu ni mwepesi na anarudi wakati anahitajika nyuma tofauti na Alonso anayehamia mbele na kujisahau. Pia Alonso hana concetration na ana faulu nyingi sana mpaka kwenye eneo la penalti. Nyuma wangewaweka Kepa GK, Zapacosta kulia, Rudiger kati, Christiansen kati, Emerson kushoto, kati wawepo Kante kulia, Covacic kati na Loftus Cheek kushoto,Preview.
Europa League (EL) surprise package Slavia Prague knocked five-time winners Sevilla out in the previous round (6-5 on aggregate), and now face 2012/13 champions Chelsea, a side undefeated this EL campaign (W9, D1).
Unbeaten in five EL home matches this term (W3, D2), whilst keeping a clean sheet in four, Slavia can also boast superb domestic home league form this season (W11, D1, L1).
In fine goalscoring shape, the Czech league leaders have now netted four or more goals in three of their last four domestic (league/cup) home matches.
With both teams scoring during the first half in Slavia’s last three European games, it seems likely the Prague outfit will concede against Chelsea here, a team that’s won their last three EL games ‘to nil’, and has now netted in eight consecutive EL away fixtures (W6, D1, L1).
Based on Chelsea’s recent away form, this game is likely to have a winner. The ‘Blues’ haven’t drawn a competitive road trip this calendar year (W4, L5), with the majority of those games (six) seeing just one side score.
If they do win, it could come via a 2-1 scoreline – five of Chelsea’s last seven away victories (in all competitions) finished 2-1.
Players to watch:
Miroslav Stoch appeared five times for Chelsea as a teenager, and now faces his former club as Slavia’s top league scorer this season (12 goals, ten assists).
Joint-EL top scorer, Olivier Giroud (nine goals), netted a hat-trick at Dynamo Kiev in the previous round.
He’s now scored in Chelsea’s last four EL away matches.
Stat attack:
Slavia have been shown one or no yellow card in each of their last four games.
Both teams have scored in the second half in three of Slavia’s last five fixtures.
There’s been a goal scored after the 75th minute in Chelsea’s last four EL matches.
All the best!
Sent using Jamii Forums mobile app