Ndio maanake Mzee baba aliondoka kwa kejeli acha asugue benchihuyu si aliondoka Chelsea kwa kisingizio cha kuwa karibu na familia yake sasa inabidi atafute timu hapo hapo spain hata Huesca ili asiwe mbali na family

kuna mda binadamu tunajichanganyaga dahNdio maanake Mzee baba aliondoka kwa kejeli acha asugue benchi
Uu hali gani huko uliko bwana domokaya. Taarifa zenu tunazoWanasubir kukutana na braza K kila alhamis msimu ujao kwa Mara nyingine tena
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
HahAhahahahaha ni vipigo tu..Wanasubir kukutana na braza K kila alhamis msimu ujao kwa Mara nyingine tena
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Haijalishi, ila mwisho wa ligi hamuend popote,Uu hali gani huko uliko bwana domokaya. Taarifa zenu tunazo
Evertin 1: 0 Arsenyeto
Jifariji Leo tumepoteza kutokana na kukosekana midfield sababu za majeruhi na red card, mechi zilizobaki za away nashinda zote na home zote,Everton 1-0 Arsenal
Arsenal wana mechi 4 za ugenini na mbili za nyumbani. Hawa Arsenal ndio timu pekee kwenye top 6 yenye matokeo mabaya sana kwenye mechi za ugenini. Kazi ipo
Chelsea wana mechi 3 za ugenini na zote ngumu. dhidi ya Liver, Man u na wale mbweha wa Leicester City
Fixtures za Spurs na Man UTD ziko poa compared to us. So sasa kuna kazi kweli kweli kwenye nafasi hizi za 3 na 4
Wewe unatakiwa ukae kimya maana mech zilizobaki unaweza usipate hata point 6
Haaahaaaa pyutuuJifariji Leo tumepoteza kutokana na kukosekana midfield sababu za majeruhi na red card, mechi zilizobaki za away nashinda zote na home zote,
Kaz kwenu ,
Mtaa wa 5 unawahusu ,manyua namba 6 kashajihakikishia
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tatizo wewe husomi hata maandiko ya mistari miwili, wapi nimejifariji? nimechambua ukweli na Arsenal na Chelsea ratiba sio nzuri compared to Spurs and Man U na huo ndio ukweli. Ratiba yenu ya Arsenal sio nzuri kwa sababu nyie ni wadhaifu sana kwenye away gamesJifariji Leo tumepoteza kutokana na kukosekana midfield sababu za majeruhi na red card, mechi zilizobaki za away nashinda zote na home zote,
Kaz kwenu ,
Mtaa wa 5 unawahusu ,manyua namba 6 kashajihakikishia
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tatizo umekariri, mech ya Jana kwanza tulikuwa na majeruhi muhimu,sasa bila kuzingatia hizo fact unajidanganya tuna ratiba ngumu,Tatizo wewe husomi hata maandiko ya mistari miwili, wapi nimejifariji? nimechambua ukweli na Arsenal na Chelsea ratiba sio nzuri compared to Spurs and Man U na huo ndio ukweli. Ratiba yenu ya Arsenal sio nzuri kwa sababu nyie ni wadhaifu sana kwenye away games
Mnatuma tu link za hazard kusepa ..tumeni na za Sarri kutimuliwa bana..Real Madrid are closing in on a club-record £100 million deal for Chelsea star Eden Hazard
Source: https://www.livescore.com/soccer/ne...00-million-deal-for-chelsea-star-eden-hazard/
Labda ushindan championshipMnatuma tu link za hazard kusepa ..tumeni na za Sarri kutimuliwa bana..
Japo bila Hazard tunaeza leta ushindani wa kutosha kwenye ligi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ukiendelea kutabiri ukiwa kwetu, naona unahamia kwako. Mimi leo namfua wagonga nyundo napanda mpaka nafasi ya tatu..Hahahahaaa hii timu msimu ujao inaelekea daraja la pili championship
Kipa kepa pazia
Hazard bye bye baba jeni
Eden Hazard would become Real Madrid's most expensive signing - but would still be cheaper than Philippe Coutinho
Fifa wamewalima ban ya miaka miwili
NATABIRI HUMU KUTAKUWA UKIWA .....
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ndio unavyojidanganya, wewe hapo nafas ya 3 utakaa kwa muda, ila baada ya wiki mbili ,utakuwa mnagombea namba 5 na 6 wewe na manyuaWakati ukiendelea kutabiri ukiwa kwetu, naona unahamia kwako. Mimi leo namfua wagonga nyundo napanda mpaka nafasi ya tatu..
Europa ya pili naitia kapuni Siku sio nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kakikosi chako cha kuokota okota unaeza mfananisha mchezaji gani wa Chelsea na hao wako assanal?? Uache ujinga bana angalia timu kaa City anasajili wachezaji kwa paund za kutosha ..wewe unachukua vile vya paund mil 10 unategemea umfunge navyo Everton?? hahaha.. unaetegemea kucheza uefa na sakina Iwobi, Laccazete, Auba, wakati uko europa miaka kibao unaruka ruka tu..uko uefa ci utaenda kuichafua London tu?Labda ushindan championship
Hazard anasepa
Kepa pazia
Ban ya miaka miwili
Forward jirud
Hahaaaaaaaaaa
Huo ushindan mnauleta wapi
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba