At least hawa wachezaji waliokuwa wanapewa muda mdogo wa dk 10-30 au wengine na saa nyingine hawapewi kabisa ndio waliohusika na magoli yote matatu
Cheek anapewaga dk30 kafunga na kuassist
Odoi hakuwahi kupewa muda kaasist goli la Giroud
Giroud alikuwa saa nyingine anapewa 30 au 20 mins au saa nyingine hapewi kabisa kafunga moja
Sarri ajifunze kuwa akiacha ubishi anaweza kuwa kocha mzuri
Sasa awe anampa Odoi full appearance kwenye starting XI
Awe anawasub Aspi, Jorgninho kwa sababu ndio bado wako kwenye low form na wanachoka haraka
I hope hii hii timu itacheza na Westham on Monday