Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sisi hatuna kelele nyingi kama nyie. Kila Siku mna fanya uchambuzi, mnapanga kikosi na kupangua ..gemu zote kwa kuongea huwa munashinda. Lakini matokeo huwa tunabaki nayo sisi.

Tatizo la fans wa manure ni much know sana. Halafu waongeaji kweli kweli.

Sasa huku unakutana na fan wenye respect zao hatuna stats za kikumbavu kama za kwenu au za aasanal...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie msimu ulivyoanza si ndio mlikua mnaongoza kwa kelele humu jukwaani, hizo kelele ziliishia wapi vile?
Au mnataka tufukue makaburi?

Sent using simu mbovu
 
Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Hazard ni mshambuliaji anayeongoza kwa ubora EPL
Short on target accuracy 75% ni Rahim Sterling pekee ndie anamatch hi rekodi
Goals (16) scored plus assists (12) = 28, Aguero anayefuatia ana 26 19 goals plus 7 assists
Big chances created 15, Ryan Fraser wa AFC Bournemouth pekee kamzidi kwa chances 22
 
Sema Hazard drop tu hapa katikati kama angeendelea na moto ule ule alioanza nao msimu angekua ana goli nyingi
 
Hizi ni salam tosha kwa loserfool, tunaenda kuwanyoa ili hawa manure na asernane waendelee kukaa position walizozizoea

Hili kaburi nakuja kulifukua, nne hamzikosi hiyo Anfield sasa we subiri muone

Chelsea hii sio ile Chelsea kabla Abramovic hajafukuzwa Uingereza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom