Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe bwege kweli, Cardiff anakutoa kamasi, hao wengine hata sare hupati

Unajifariji wakati kwa kikos chako hicho tiamajitiamaji , lazima umalize nafas namba 6

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Sawa mtabiri Tambitambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimsifu Sarri kwa kikosi cha Jana. Alonso, Barkley, Willian, Pedro na Kovacic hawakuanza.

Azpilicueta nae muda c mrefu ntaacha kumtetea kwa kiwango chake.
 
Huyo hastahili huruma. Muache apate alichokitaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Zizzu kamweka namba 3, Kazi ipo kweli. Kumbuka aliyemfanya Zinedine ajiuzulu mwaka jana alikuwa ni Thibaut pamoja na Cristiano Ronaldo kutaka kuondoka RM. Zizzu alidai RM haina shida na makipa lakini matajiri wakamtaka Thibaut Nicolas, sasa baada ya kurudi anashikilia msimamo wake kuwa Navas na Lucas Zidane (kijana wake Zizzu) wanatosha. Kwa hiyo Courtois anatafuta dirisha la kutokea, mara PSG, mara Man U, Au tumruhusu arudi nyumbani nini?

Nimsifu Sarri kwa kikosi cha Jana. Alonso, Barkley, Willian, Pedro na Kovacic hawakuanza.

Azpilicueta nae muda c mrefu ntaacha kumtetea kwa kiwango chake.
Sema sari nae hatabiriki mechi ijayo unaweza shangaa kawapiga benc wale walioperform vizuri jana
 
Zizzu kamweka namba 3, Kazi ipo kweli. Kumbuka aliyemfanya Zinedine ajiuzulu mwaka jana alikuwa ni Thibaut pamoja na Cristiano Ronaldo kutaka kuondoka RM. Zizzu alidai RM haina shida na makipa lakini matajiri wakamtaka Thibaut Nicolas, sasa baada ya kurudi anashikilia msimamo wake kuwa Navas na Lucas Zidane (kijana wake Zizzu) wanatosha. Kwa hiyo Courtois anatafuta dirisha la kutokea, mara PSG, mara Man U, Au tumruhusu arudi nyumbani nini?

Hatuwezi kumruhusu arudi kwa sababu aliondoka kwa dharau, pia tayari nafasi yake imeshazibwa kwa kipa mwenye ubora Kepa Arrizabalaga. So hata kama itatokea amekuja atakuja kusugua bench na kupoteza kiwango chake au cha mchezaji meingine.

Cha kumshauri kwa kuwa bei yake siyo kubwa kiivyo anaweza kupata timu nyingine akaendelea kutengeneza legacy yake. PSG kutamfaa sana coz pale Buffon hana mda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa subiri ligi iishe ndio uanze kulopoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na uyo ass anal timu yao haina future yeyote ipo ipo tu ..haka uko uefa wanapataka lakini sioni kikosi wanachopeleka uko ni kipi..

Nishasemaga arsenal ni timu ya kukuzia viwango tu ..ukiona mchezaji anaenda arsenal ujue kakosa option na hakuna timu inayomtaka.

Tangu lini mchezaji aliyetakiwa na timu kama ass anal, au chelsea, au man city au Liver halafu akang'ang'ania kwenda ass anal??

Wachezaji wote wanaoendaga ass anal awanaga competition yeyote na timu zingine..

Unaongeaga utumbo, sasa ila dawa yako ukigongwa kimoja ,tu unajipiga ban

Nilishawaambia cheltako inarud kwenye nafas yake tuliyoizoea nafas ya 5-7 ,nadhan kipind hicho ulikuwa hujaanza kujua EPL,

Na hii ban ya usajir lazima msimu ujao mrudi nafas ya 10

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Watu mbona kelele wanaarsenal Sisi kua namba tano inakuumaje ww wa arsenal wakwti uko nne bas uwezo wako una mashaka
 
Unaongeaga utumbo, sasa ila dawa yako ukigongwa kimoja ,tu unajipiga ban

Nilishawaambia cheltako inarud kwenye nafas yake tuliyoizoea nafas ya 5-7 ,nadhan kipind hicho ulikuwa hujaanza kujua EPL,

Na hii ban ya usajir lazima msimu ujao mrudi nafas ya 10

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tutawashangazaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuwezi kumruhusu arudi kwa sababu aliondoka kwa dharau, pia tayari nafasi yake imeshazibwa kwa kipa mwenye ubora Kepa Arrizabalaga. So hata kama itatokea amekuja atakuja kusugua bench na kupoteza kiwango chake au cha mchezaji meingine.

Cha kumshauri kwa kuwa bei yake siyo kubwa kiivyo anaweza kupata timu nyingine akaendelea kutengeneza legacy yake. PSG kutamfaa sana coz pale Buffon hana mda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu si aliondoka Chelsea kwa kisingizio cha kuwa karibu na familia yake sasa inabidi atafute timu hapo hapo spain hata Huesca ili asiwe mbali na family
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom