Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Leo zee letu limetupangia kikosi kazi cha europa kinachotoa doze nzito nzito mambo yamekwenda sijui anakwamaga Wapi huyu mzee, angemalizia kabisa kumuondoa toto lake akacheza kova ingekuwa poa sana
 
Mm gari lishakata breki,sifungwi mpaka ligi inaisha

Wewe hata ukishinda Leo huna madhara

Hapo mbele una liver ,una manyua, una Leicester una westham

Lazima ulambwe kama point 9,

Kwa hiyo hata ukishinda Leo huna madhara

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hizo zote tutapita bila kupigwa. Apo labda liver atatukazia draw.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchawi mkubwa alikuwa ni Alonso ndie alikuwa anapwaya na kuinajisi timu nzima
Uwepo pia wa vijana kuliko wazee umeisaidia Chelsea kupata magoli. Tukiendelea hivi nafasi ya 3 au 4 ni ya kwetu mapaka mei
 
Chelsea leo wanacheza so relaxed so confident wanacheza The Chesea-way!
 
Mchawi mkubwa alikuwa ni Alonso ndie alikuwa anapwaya na kuinajisi timu nzima
Uwepo pia wa vijana kuliko wazee umeisaidia Chelsea kupata magoli. Tukiendelea hivi nafasi ya 3 au 4 ni ya kwetu mapaka mei
Kweli yaani Alonso amekuwa slow Sana asee
 
At least hawa wachezaji waliokuwa wanapewa muda mdogo wa dk 10-30 au wengine na saa nyingine hawapewi kabisa ndio waliohusika na magoli yote matatu
Cheek anapewaga dk30 kafunga na kuassist
Odoi hakuwahi kupewa muda kaasist goli la Giroud
Giroud alikuwa saa nyingine anapewa 30 au 20 mins au saa nyingine hapewi kabisa kafunga moja

Sarri ajifunze kuwa akiacha ubishi anaweza kuwa kocha mzuri
Sasa awe anampa Odoi full appearance kwenye starting XI
Awe anawasub Aspi, Jorgninho kwa sababu ndio bado wako kwenye low form na wanachoka haraka
I hope hii hii timu itacheza na Westham on Monday
 
At least hawa wachezaji waliokuwa wanapewa muda mdogo wa dk 10-30 au wengine na saa nyingine hawapewi kabisa ndio waliohusika na magoli yote matatu
Cheek anapewaga dk30 kafunga na kuassist
Odoi hakuwahi kupewa muda kaasist goli la Giroud
Giroud alikuwa saa nyingine anapewa 30 au 20 mins au saa nyingine hapewi kabisa kafunga moja

Sarri ajifunze kuwa akiacha ubvishi anaweza kuwa kocha mzuri
Sasa awe anampa Odoi full debut
Awe anawasub Aspi, Jorgninho kwa sababu ndio bado wako kwenye low form na wanachoka haraka
I hope hii hii timu itacheza na Westham on Monday
sarri haumjui atakuja na watu wake Wale Wale na tutafungwa kipindi cha pili kama kawaida pedro atakosa kosa, william atakosakosa tutawekwa cha pili
 
Nawatakia matokeo mema Brighton

Sare au kuwafunga chelshit itapendeza sana

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Vipi umekimbia kimya kimyae, bila shaka sasa hivi unakatikia mwichi.
 
Chumba namba 6 mnataka kukikimbia kirahisi hivi

Hebu second half Brighton mje mfanye comeback

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Yan unavyo hangaika mpaka nakuonea huruma. Aya umefaidika nini.?

Leo ni 3-0 hesabu clean sheet kaforomondo wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Six years after being told he wasn't good enough by Chelsea, Declan Rice will be back at Stamford Bridge with West Ham on #MNF as an England international with a point to prove

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
We Pampula acha kukariri maisha. Hiyo fiture mbele yangu unavyoichukulia wewe siyo kama ninavyo ichukulia mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bwege kweli, Cardiff anakutoa kamasi, hao wengine hata sare hupati

Unajifariji wakati kwa kikos chako hicho tiamajitiamaji , lazima umalize nafas namba 6

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom