Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720

epl bhnaa wanakuacha kwanza kama sarri misigara kisha wanaanza yao wahuni'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba

epl bhnaa wanakuacha kwanza kama sarri misigara kisha wanaanza yao wahuni
Mpira ramli ushatia timu ..Huyu kocha wa Brighton kabeti hawez kumuweka nje yule muhun mwenye mguu wa dhahabu Antony knockaret,maana asingemuacha salama Kepa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Jamaa umeshavamia humu umepaki kabisaaa 😂😂nawavyowachukia Nyumbu Chelsea ashinde tuHuyu muhuni Antony knockaret kaanzia benchi Leo, lazima awatie goli kipind cha pili ,
Leo lazima Brighton tufait kupata point , hatuwez kuchezea shiling choon wakat kipa ni kepa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Unakaza mshipa ukidhani Chelsea anapoteza nyumbani. Unawashwa wewe.?Huyu muhuni Antony knockaret kaanzia benchi Leo, lazima awatie goli kipind cha pili ,
Leo lazima Brighton tufait kupata point , hatuwez kuchezea shiling choon wakat kipa ni kepa
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kepa pazia
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kama anakukera m- ignore kama huwezi usitusumbue
Ningekuwa sina kaz ningekuja kukuomba hela ya kula
Sasa chelshit si tiamajitiamajiUnakaza mshipa ukidhani Chelsea anapoteza nyumbani. Unawashwa wewe.?
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaaaaKama anakukera m- ignore kama huwezi usitusumbue
Hapana hawa wapigwe tu,Jamaa umeshavamia humu umepaki kabisaaanawavyowachukia Nyumbu Chelsea ashinde tu
Ynwa
Mm gari lishakata breki,sifungwi mpaka ligi inaishaMpira ramli ushatia timu ..
Tukishinda tunakupumulia apo nyuma..
Tunaimani Wolves na Everton hawatotuangusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
hadi giroud amekuwa wa muhimu saiv hahahahahWrite your reply...
leo ka anza mtaalam giroud,ushindi lazima
Unawanga mchana mchana mkuuChumba namba 6 mnataka kukikimbia kirahisi hivi
Hebu second half Brighton mje mfanye comeback
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hamna madhara, manyua anawangoja na liver, kuna point 9 lazima uziteme