Sarri comment on Callum Hudson-Odoi is STUPID
Jamie Carragher has blasted Chelsea manager Maurizio Sarri for admitting he only watched 20 minutes of Callum Hudson-Odoi’s full England debut against Montenegro.
Jamaa anadai huyo kocha ni wa ajabu, anaangalia dk 20 mechi ambayo kijana mdogo wa miaka 18 tu anaichezea timu yake ya Taifa na angeangali mechi yote angepata fursa ya kumfahamu Zaidi nguvu yake na udhaifu wake kwa mapaan Zaidi. Badala yake anaenda kuangalia mechi za wazee wa miaka 27, 28, 29, 30, 31 badala ya kuwekeza nguvu kwa kijana mdogo kama Odoi!!