Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kipa kepa .... Hahaaa

Mkishambulia kwa nidhamu lazima mpate magoli kwa huyu kepa,

Yaan ukikutana na Chelsea wewe shambulia kwa nidhamu ,lazima utumbukize mpira nyavuni


Paun mill 71

Hahaaa ,huyu kepa tumepigwa

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kepa unamfananisha na kipa gani wa arsenal.? Leno akija Chelsea atapelekwa kikosi B uko..
Akitoka Oblack, anayemfukuzia Kepa kwa ubora ni Allison na kidogo De Gea..

Kama unabisha weka stats apa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa nilishasema Chelsea inarud ilipotoka

Chelsea ni level ya kina Fulham

Wakati nakua nilikuwa naiona Chelsea ikijitahid inashika nafas ya 5 au ya 6

Baada ya kuja mrusi ikanyanyuka. Sasa inarudi ilipotoka



'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kipindi nifahamu ass anal sijawahi kuona ikibeba kombe linaitwa Uefa, EPL Mara ya mwisho mnabeba ulikuwa ujazaliwa dgo ..ass anal ni level za Cardiff city, Bolton, Leeds ...Sisi huwa tunashuka na kupanda na tukipanda lazima tuondoke na EPL...

Sasa wewe una miaka mingap unaishika nafasi ya tano? msimu ukijitahidi sana unaeza ingia uefa ukaishia hatua ya makundi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom