Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Halafu nyie badilisheni mfumo

Msikariri maisha, mfano Atletico baada ya kutumia 4-4-2 kwa muda mrefu jana wametumia 4-3-3
 
Haha

Nikimalizana na spurs ntarudi

Shuwainiiii cheltakooo

13SEPTEMBER
 
Kipa kepa .... Hahaaa

Mkishambulia kwa nidhamu lazima mpate magoli kwa huyu kepa,

Yaan ukikutana na Chelsea wewe shambulia kwa nidhamu ,lazima utumbukize mpira nyavuni


Paun mill 71

Hahaaa ,huyu kepa tumepigwa

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kanafungwaga magoli ya kingese sanaaa

13SEPTEMBER
 
Hongereni wanaChelsea

Ila naamini kumtoa Jorginho ndio kumewasaidia kupiga hii comeback
 
Dhuluma ya wazi kabisaaa
IMG_20190331_175758.jpeg
 

Hii ndio Chelsea iliyofungiwa kusajili? Msimu ujao kazi mnayo.
Na Hazard akiondoka ndio mmekwisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom