Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hivi Asernal nao ni wa kubishana nao hao.? Utapoteza nguvu zako bure achana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unabishana ,

Sasa chelwowo level zenu si kina Everton ,Fulham

Labda kwakuwa umeanza kuijua chelwowo mwaka 2005 , ila kwa kuwa sasa inarud ilipotoka , utaelewa namaanisha nini

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Issue ya Man United inajulikana, walimpa pesa lakini hawakumtimizia alichokitaka. Hata hivyo failure yake Man United hasa ktk mwaka wake wa tatu haiwezi kumuondolea kuwa kocha mwenye mbinu na haiwezi mfanya umlinganishe na Sarri
Alichokifanya Chelsea misimu miwili, Intermilan msimu mmoja na Real Madrid msimu mmoja inatosha kumtetea
Hakuna alichokosa Man Utd...alitaka pesa za usajili za kutosha akapewa,lkn muda huo huo uongozi wa timu yoyote unaangalia thamani ya pesa wanayotoa na matokeo ya timu uwanjani...matokeo hayakua sawa na kiasi alichotumia kuijenga timu.
Pia kushindwa kujua kikosi cha kwanza kwa misimu mitatu mfululizo nako kukawa ni changamoto kubwa kwa uongozi kumuelewa kocha.
Imagine kiasi alichotumia Pep halafu timu ikawa haieleweki,hata ungekua wew ni mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu usingevumilia kuona mnapoteza pesa kwa muunganyiko wa wachezaji wasioleta matokeo mazuri uwanjani.
Kwa miaka ya sasa falsafa za Mou sijui kama zina matunda tena kulingana na mabadiliko ya kiuchezaji na wachezaji wenyewe waliopo kwa sasa.

shinji jr unachoserma kuhusu MOU kupewa pesa nyingi ni kweli lakini pia sio kweli. Mou kalalamika sana kuhusu fullback lakini hakusikilizwa
Usajili wa wachezaji siku zote ni bet na gambling ya aina yake. saa nyingine kocha anapatia na saa nyingi anabuma, MOU alichobet vibaya ni Sanchez tu tena sio kosa lake, Sancheza kiwango kimeshuka baada ya uhamisha na MOU asingejua hilo

Kuhusu falfasa yenye matunda ni fit between the players and the philosophy itself and sometimes the fit depends on the opponent
Ukicheza na PEP falsafa inaweza ikahitaji a little bit of tweak "A" tofauti na ukicheaza na Klopp ambaye itahitahitaji tweak "B" etc
Makocha wengine hawajui hizi tweaks akiwemo Sarri ndio maana ni too much predictable.

MOU anazijui hizi Tweak sana na ndio maana pamoja na Man U mbovu aliweza kuchukua EUROPA na kukaa second kwenye ligi ya mwaka jana.

Huyu Ole Guna akishakuwa predictable kama hajui hizi tweaks utakuja kuniambia next seasons atakuwa tu kama Sarri
 
Hatoki mtu Chelsea
Chelsea cannot appeal the case and therefore want to keep all the players.
No Hazard transfer no Christiansen no Odoi will get out of Chelsea until the end of contract
 
Hakuna alichokosa Man Utd...alitaka pesa za usajili za kutosha akapewa,lkn muda huo huo uongozi wa timu yoyote unaangalia thamani ya pesa wanayotoa na matokeo ya timu uwanjani...matokeo hayakua sawa na kiasi alichotumia kuijenga timu.
Pia kushindwa kujua kikosi cha kwanza kwa misimu mitatu mfululizo nako kukawa ni changamoto kubwa kwa uongozi kumuelewa kocha.
Imagine kiasi alichotumia Pep halafu timu ikawa haieleweki,hata ungekua wew ni mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu usingevumilia kuona mnapoteza pesa kwa muunganyiko wa wachezaji wasioleta matokeo mazuri uwanjani.
Kwa miaka ya sasa falsafa za Mou sijui kama zina matunda tena kulingana na mabadiliko ya kiuchezaji na wachezaji wenyewe waliopo kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Man United fans hawatapenda kuisikia
Park the bus! Solskjaer's tactics are the same as Mourinho's, says Van Gaal

Louis van Gaal is not convinced that Ole Gunnar Solskjaer has changed Manchester United's style since taking over from Jose Mourinho, and believes he is guilty of "parking the bus" just like his predecessor.
"But they can also win the Champions League because they play a defensive system and it is very difficult to beat them, which, whether you like it or not, is the result of Mourinho's work."
https://www.goal.com/en/news/park-the-bus-solskjaers-tactics-are-the-same-as-mourinhos/j4fw97nh5vb1f52bbsou1i92
 
"But the way Manchester United are playing now is not the way Ferguson played. It is defensive, counter-attacking football. If you like it, you like it. If you think it is more exciting than my boring attacking, OK. But it is not my truth."

Van Gaal alishaona watu walikua wanachukia mbinu zake za kushambulia halafu magoli hayapatikani,anapondaje mbinu za solksjaer wakat angalau sasa timu inacheza kwa kujiamini na matokeo mazuri yanapatikana?

Finally,when you play a side that seems to be superior than yours,what you need to do is to find better way to defend your goal with a smart style to find their goal and accurately utilize your chances,thats what solksjaer do when facing an attacking and dominant team.

Mechi ambazo solksjaer alitumia io mbinu ya kujilinda zaid ni mbili tu mpaka sasa, 1 vs spurs na 2 vs Psg.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shinji jr unachoserma kuhusu MOU kupewa pesa nyingi ni kweli lakini pia sio kweli. Mou kalalamika sana kuhusu fullback lakini hakusikilizwa
Usajili wa wachezaji siku zote ni bet na gambling ya aina yake. saa nyingine kocha anapatia na saa nyingi anabuma, MOU alichobet vibaya ni Sanchez tu tena sio kosa lake, Sancheza kiwango kimeshuka baada ya uhamisha na MOU asingejua hilo

Kuhusu falfasa yenye matunda ni fit between the players and the philosophy itself and sometimes the fit depends on the opponent
Ukicheza na PEP falsafa inaweza ikahitaji a little bit of tweak "A" tofauti na ukicheaza na Klopp ambaye itahitahitaji tweak "B" etc
Makocha wengine hawajui hizi tweaks akiwemo Sarri ndio maana ni too much predictable.

MOU anazijui hizi Tweak sana na ndio maana pamoja na Man U mbovu aliweza kuchukua EUROPA na kukaa second kwenye ligi ya mwaka jana.

Huyu Ole Guna akishakuwa predictable kama hajui hizi tweaks utakuja kuniambia next seasons atakuwa tu kama Sarri
Aya yako ya kwanza bado nakataa.Mou aliweka sana mkazo katika beki za kati na hata aliposajili rightback ni yule dalot ambaye hata kwny orodha ya wachezaj wa mechi hakuwa akiwepo.

Mou pia hakua bize kuimarisha kiungo wakati dunia ya sasa hakuna kocha anaetaka kuwa na kiungo dhaifu hata kwa bahati mbaya, mwisho akaja kuona viungo wote waliopo hawafai ma hadi kufikia kipind kumsema vibaya Matic kiungo wake mtiifu kabisa[emoji3][emoji3].

Mou alifanya vizuri msimu wake wa pili akiwa Man Utd na striker zile zile (achilia mbali Zlatan aliekua majeruhi karibu nusu msimu). Lakn alishindwa kwenda sawa na wachezaj pale ambapo alitumia mbinu za kujilinda zaid hata akicheza na timu zilizo nje ya zile 6 kubwa kwa sasa. Vipigo havikuisha maan hakuna timu iliyoiogopa tena Man utd ya kupaki basi kuanzia dakika ya 1 hadi ya 90.

Na msimu wake wa mwisho ni baada ya uongozi kutoona manufaa kwny timu ambayo imeundwa kwa gharama kubwa lkn bado muongozaj anadai timu haifai hata kugombania nafasi nne za juu [emoji2][emoji2] shame on him.

Mou amefeli katika sifa za kuwa manager na hapo ndo anapokosa sifa za kuongoza katika vipind vigumu. Namshauri aingie darasani apate hata lecture chache tu za management maan uzoefu wake haujamsaidia.
Screenshot_2019-03-27-09-12-20-1.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The date for Chelsea's hearing on their transfer ban has been scheduled for April 11, Sky Sports News understands.
 
Chealsea inatatizo kwenye menegement kuanzia wenye uwanja adi uongozi wa juu. Timu imetoa wachezaji 41 kwa mkopo kwa msimu wa 2018/2019 na inayo wachezaji 29 kwa msimu wa 2018/2019 lakini bado haifanyi vizuri.
Imefika muda muafaka wa msasa kupigwa kuanzia kwa kapteni adi chairman. Sijui ni Akili gani ilitumika kumpatia Cahili u kaptani alafu hayupo uwanjani.
The Blues forever.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom