interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Habar zenu tunazoView attachment 1047954
Duniani kuna Watu wana bahati sana, sijui aliyemchagua Sari kuifundisha Chelsea alitumia vigezo vp hasaHuyu babu si akapumzike na wajukuu zake kamanzichana.akale penshen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulivyo lopolopo umeipata fresh kashangilie barcelona na mwakan mmilik kasema striker ni crouch au andy carol
Ila poleni sana
Tajiri wenu kama anawasusa hivi
Liverpool hatatufunga.Nitafurahi sana tukipigwa 7-0 kama tulivyopigwa na City, hapa ndipo utajua kwanini moyo ukishachoka kuvumilia huamua vyovyote vile?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mrusi tangu kabaniwa visa hana khabari na timu kabisa ...siasa za yule bibi May zmechangia Sarri kusalia darajani mpka sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa enzi zake huyu Sari angeshabaki kuwa historia tu sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Europa tunaeza komaa lakini timu ikabaki ile ile tu ..ivi mtu kama Alonso anaeza kimbizana na Salah kwa sasa? kam Uyu aliyefunga goli la kwanza kamshindwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha ndio hovyoHii Chelsea Inapaswa ivunjwe kabisa..yani timu ifutwe kabisa kwenye ligi..
Halafu tuanze upya..
Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe majiMkuu sion kama sarri ana tatizo ..me naona ni wachezaji tulio nao ..mf Alonso anapwaya sana, Uyu dgo alofunga goli la kwanza kamkimbiza sana ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo Dependency Syndrome -RDS Hata short on target moja hawana
Timu ya kucheza na Liverpool ipo tena sana, hawa wachezaji wanakosa kujituma, sijui wamelogwa au huyo mzee hana mbinu ya kuwapush ili wacheze vizuri kwa kujituma kama wenzao wa Everton waliporudi kipindi cha pili walibadilikaSioni beki wa kumzuia Mane au hata Firmino ..tukikutana mtufunge tu kama Everton..2:0
Sent using Jamii Forums mobile app
Alonso kuypwaya kosa la nani, Kocha ana control mfumo na wachezaji, yeye anamlea kwa hiyo kocha naye ni bomu. Hii timu kama ilivyo mpe Pochettino halafu uone kama haitakuwa timu ya ushindi tu. Sarri anatabirika na timu za EPL zimeshamjulia na yeye hana mbadala, staili ile ile mpaka afe maji
nimewa mack lembu na huyo chuga nikisema kocha mbovu nasmbiwa niwe natazama mpiraAlonso kaiuza timu tangu December, Yaani Kocha hata hamshtukii jamaa mpaka aizamishe timu
MAJERUHI KIJANA POTECHINO HANA HUO UJINGA KUHUSU MOURA UCHOVUPochettino nae ana mapungufu ya wazi wazi kama huyo Sarri anavyompenda Alonso
NASHINDWA KUMUELEWA POCHETTINO kwa Wachezaji kama Dele Alli kumuweka benchi Fernando Lorrente na Lucas Moura vile vile BenDavies kumuweka bench Danny Rose hapo ndio utajua kuwa makocha wengi huendekeza mapenzi kwa wachezaji fulani kwa sababu ambazo sio za kiuwezo bali mapenzi ya kocha kwa mchezaji
MAJERUHI KIJANA POTECHINO HANA HUO UJINGA KUHUSU MOURA UCHOVU
Mrusi angekuwa uwanjani jana kama kawaida yake ..Sarri angepewa mechi mbili tu..Hahahhahahahaha
Kumbe bibi May kamsaidia sana Sarri kubakia kibaruani
Ahahhahahah