Geranimo E K I A
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,383
Acha kelele wewe, nimekimbia ulinikimbiza wwHahaha..ww shabik wa aseno umekimbia kule jukwaa lenu.sisi man u tunawasubiri kule mkuu
Tunawategemea leo mtupunguzie kelele
Nipo ofis za Gal sporting betting Moshi mjin....ni dk 67 sasa, mbweha anakula mtu
Huwezi kumpata saizOLLACHUGA
OLLACHUGA



Mmechomoka kwenye tundu la sindanoKumbukizi:
Tarehe 5/12/2018 - Wolves waliichapa Chelsea wakiwa darajani goli 2-1
Wafungaji wakiwa ni Jimenez na Jota,
Leo tarehe 10/03/2019 .
Chelsea anapapaswa tena, na safri hii mfungaji akiwa Jimenez kwa assist ya Jota..
Wazee wa Sariball mna nini na hawa vijana. Mbona wanajipigia tu? Yani kama mtalaka vile wanavyo wapapasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani amesema wachezaji wamegoma? Unapaswa kujua kuwa ni vigumu kucheza Alhamisi Europa alafu ucheze J2 EPLMgomo wa wachezaji kumkataa Sari ndio unai cost timu. Tungeshinda mechi ya leo na kiporo kijacho tungekuwa wa 3 kwenye msimamo wa ligi hata Spurs tungemshusha.
Wachezaji wa Chelsea wanakera sana
Sent using Jamii Forums mobile app