Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

dahhhh chelsea mnanipa raha sanaaaaa...migoli hii inatakiwa muuwakamulie man u
 
Nice game, beautiful goals, Nando on target, we're still in it....come on you Blues!
 
Be warned: we ain't finished yet.
Hahah tangu mwanzo wa msimu nilishasema our only threat is Chelsea... We are in for a thrilling last four weeks..!
Naona baada ya Nando kufunga David Villa naye kafunga maana naye alienda ten odd games bila kufunga, mastraika wa Spain wameamka leo enh?
 
Yeah, naangalia game ya Barca na nimeliona goili la Villa, mpaka Shakira na Pique wamepata mzuka...hahaha.
 
special Easter Greetings and congrats finally my lousy tourist scored thanks to the ditch

BTW, mbona kimya kamanda?? hata feedback mazee??

Hahahaha, I wait to see that avatar gone as you promised!
 
special Easter Greetings and congrats finally my lousy tourist scored thanks to the ditch

BTW, mbona kimya kamanda?? hata feedback mazee??

Nimekumbana na professional mails zaidi ya 400 za kujibu zimeniweka busy! Nitakupa waya kesho........
 
Nafikiri kuanzia sasa atakuwa anatupia tu..confedence itarudi.
 
Yeah, naangalia game ya Barca na nimeliona goili la Villa, mpaka Shakira na Pique wamepata mzuka...hahaha.

Ile game ya Madrid na Valencia ilikuwa na migoli kibao leo....Leo MTD itakuwa tamu sana heheh....!! Nawachungulia Juve maana at one point nilikuwa nawazimia kwa upande wa Italy.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom