ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Kabisa.Jamani morata huko atletico kawaka mbaya kabisa kinachotakiwa ni kumrudisha mpaka aperform anatuchezea akili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa.Jamani morata huko atletico kawaka mbaya kabisa kinachotakiwa ni kumrudisha mpaka aperform anatuchezea akili
RM bila CR7, Ramos, Pepe na Marcello ni hovyo tu
Wapi huko?Here We Go
Ulisemaje hapo khs chama kubwa Utd??? Unaweza kurudia mana hatuelewi kwa sababu mambo ni mengi na mda ni mchache!!Timu hizi zijiandae kisaikolojia kuyaaga mashindano mwezi huu
- Man U against PSG on 6/3
- Liverpool against Bayern Munich on 13/3