OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Yani jana timu ilikuwa na wachezaji 12 hongereni sana kwa hilo..Tune inabadilika sasa hata ulipofumuliwa hapo darajani ni msaada wa refa 2-0
View attachment 1037122
Jana wale madogo walinyimwa penalties mbili za wazi kabisa..Mbaazi zikikosa maua lazima zisingizie jua sasa unaogopa nini kama hushindi kwa msaada wa refa usaidiwe nini?
Jana wale madogo walinyimwa penalties mbili za wazi kabisa..
Apo OT tutakuja kuzawazisha kila kitu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajipa moyo kwanza Liver nimewapendelea point, kama wakiendelea mwendo wa droo kwa namna walivyocheza leo hamtafikisha hata 90Jipe moyo
[/QUOTE
Jorginho akijitahidi anaweza kukaribia kiwango cha McTominay japo kwa mbaali.
Ficha ujinga wako mchezaji anayechezea azuri first eleven unalinganisha na kituko ambacho England haiwezi kuita hata kwa majaribio
Kama tukichukua Europa wewe utakuwa huna maana yeyote kupambana kuingia top four ...labda upambane umshushe Spurs..Ungeenda kuchezesha wewe sasa muda bado upo wa kukata rufaa
Mwaka jana herrera alipewaga umeme ka hazard kalijirusha sisi tulikuwa kimya mbona hamkusema? Safar hii herrera kalipa hapo hapo
var ipo toka mwezi wa kwanzaJana Spurs na Man U walibebwa na marefa, ndio maana VAR inatakiwa urgently EPL
Hapa Vibonde walishangilia sana kwa sababu hawakutegemea kushinda tena Stamford Bridge, Hongereni sana ila point moja tu Man U haitakaa irudie ile zama za Prof. Alex Ferguson, mtaendelea kuwa on and off mpaka mpotee kwenye thin airTune inabadilika sasa hata ulipofumuliwa hapo darajani ni msaada wa refa 2-0
View attachment 1037122
Hapa Vibonde walishangilia sana kwa sababu hawakutegemea kushinda tena Stamford Bridge, Hongereni sana ila point moja tu Man U haitakaa irudie ile zama za Prof. Alex Ferguson, mtaendelea kuwa on and off mpaka mpotee kwenye thin air
Wanatest tu na hawaitumii kabisa kwenye kutoa maamuzi ya referee ila August 2019 ndio inaanza rasmi kuwa sehemu ya marefariivar ipo toka mwezi wa kwanza