Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Sasa kuna timu tano zinagombania nafasi mbili. Nafasi ya tatu na nne ziko wazi. Sio tu kuwa juu ya Arsenal , Hata Spurs
Wa 1 & 2 wanaogombania Wameshajuilikana ni Man City na Liverpool tu na so vyenginevyo.
Sema kuna timu 4 (Man United, Arsenal, Spurs na Chelsea) ndiyo zinazogomabi nafasi ya (3 & 4).
Hayo ya timu 5 nadhani ni Jealous tu ndiyo zinakufanya umueke Liverpool sawa na Chelsea aliye nafasi ya 6 kuwa wanagombania nafasi pamoja.
Alisikika mlevi mmoja akizungumza