Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi kali za vigogo EPL

Machi 2: Tottenham v Arsenal

Machi 10: Arsenal v Man United

Machi 31: Liverpool v Tottenham

Aprili 14: Liverpool v Chelsea

Aprili 20: Man City v Tottenham

Aprili 24: Man United v Man City

Aprili 28: ManUnited v Chelsea
Apo Chelsea na Tottenham watashinda zote..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo/morale ninaona iko chini sana pale

Ukiniambia nikutajie timu tatu zenye forward bora EPL msimu huu basi nitakuambia Spurs wamo ila Chelsea hawamo
Forward pekee haitoshi timu kuwa top, By the way forwards ya Spurs ni nani pale, Kane au Moura au nani. Muchage na ushabiki saa nyingine. SPurs is a very ordinary timu tangu Chelsea ichukue ubingwa mara mbili Spurs ilikuwa hivi hivi
 
Hili Ndiyo Tatizo lenu munaposhinda Kijimechi Kimoja!

Arsenal Kamfunga Spurs
Man United Kamfunga Spurs
Liverpool Kamfunga Spurs
Man City Kamfunga Spurs
Vibonde Vimemgunga Spurs
Kamfunga Nyinyi imeshakuwa Munaanza Kujisifu kuwa Timu nyengine zitaishia draw.

Sasa hapo kipi kipya mulichokifanya kwa Spurs ambacho wengine hawajakifanya?

Hapo Draw utatoa na Kufungwa utafungwa
Mapofu ya nini, Mimi nimeongelea Chelsea na mechi zilizobaki huo mlolongo wa historia ya waliomfunga Spurs nani anataka
 
√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City

Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.

CC: Ollachuga Oc
 
Namshukuru sana Kepa kwa kumgomea Kocha, amesababisha timu iwe united, we fuatilia tu utadhani Chelsea has been reborn after Kepa incident. Kila mchezaji anamuunga mkono Kocha kwa sasa, Benji la ufundi nalo hivyo hivyo, body ya timu ndio usiseme. Nimesoma sehemu nyingine Hazard akisema wameblast Kepa kwa ujinga alioufanya na wamempa shule asirudie tena. Hii incident imewafanya hata wale wachanga ndani ya Chelsea kitabia wakue. Nina Amani sasa hata mgogoro ukitokea kocha hatagomewa kwa sababu miaka yote inayoua Chelsea ni mgomo wa wachezaji. Nashukuru pia form ya Alonso naona kama imerudi japo hatuwezi pima kwa game moja
 
Hili Ndiyo Tatizo lenu munaposhinda Kijimechi Kimoja!

Arsenal Kamfunga Spurs
Man United Kamfunga Spurs
Liverpool Kamfunga Spurs
Man City Kamfunga Spurs
Vibonde Vimemgunga Spurs
Kamfunga Nyinyi imeshakuwa Munaanza Kujisifu kuwa Timu nyengine zitaishia draw.

Sasa hapo kipi kipya mulichokifanya kwa Spurs ambacho wengine hawajakifanya?

Hapo Draw utatoa na Kufungwa utafungwa
Vibonde wamemfunga spurs lakini maajabu yupo nafasi ya 3, kwani chelsea hajamfunga man cty?,hajamfunga arsnl?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru sana Kepa kwa kumgomea Kocha, amesababisha timu iwe united, we fuatilia tu utadhani Chelsea has been reborn after Kepa incident. Kila mchezaji anamuunga mkono Kocha kwa sasa, Benji la ufundi nalo hivyo hivyo, body ya timu ndio usiseme. Nimesoma sehemu nyingine Hazard akisema wameblast Kepa kwa ujinga alioufanya na wamempa shule asirudie tena. Hii incident imewafanya hata wale wachanga ndani ya Chelsea kitabia wakue. Nina Amani sasa hata mgogoro ukitokea kocha hatagomewa kwa sababu miaka yote inayoua Chelsea ni mgomo wa wachezaji. Nashukuru pia form ya Alonso naona kama imerudi japo hatuwezi pima kwa game moja

Wewe si ulikuwa ukimtetea Kepa? Au umeshasahau?
 
*Once a small team always a small team*

Arsenal 5:1 Bournemouth

Man cty 5:1 Bournemouth

Everton 5:1 Bournemouth

Man u 4:1 Bournemouth

Liverpool 3:0 Bournemouth

Spurs 3:0 Bournemouth

*-Chelsea 0:4 Bournemouth-*
 
*Once a small team always a small team*

Arsenal 5:1 Bournemouth

Man cty 5:1 Bournemouth

Everton 5:1 Bournemouth

Man u 4:1 Bournemouth

Liverpool 3:0 Bournemouth

Spurs 3:0 Bournemouth

*-Chelsea 0:4 Bournemouth-*

Wacha unoko wewe
 
*Once a small team always a small team*

Arsenal 5:1 Bournemouth

Man cty 5:1 Bournemouth

Everton 5:1 Bournemouth

Man u 4:1 Bournemouth

Liverpool 3:0 Bournemouth

Spurs 3:0 Bournemouth

*-Chelsea 0:4 Bournemouth-*
 
√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City

Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.

CC: Ollachuga Oc
Tuna gemu mbili mkononi ( viporo viwili) wala hainipi tabu yeyote ..

Huu mwezi nateleza tu..

Halafu kitu ambacho hutaaminj ni kwamba hutoifunga Chelsea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukuru sana Kepa kwa kumgomea Kocha, amesababisha timu iwe united, we fuatilia tu utadhani Chelsea has been reborn after Kepa incident. Kila mchezaji anamuunga mkono Kocha kwa sasa, Benji la ufundi nalo hivyo hivyo, body ya timu ndio usiseme. Nimesoma sehemu nyingine Hazard akisema wameblast Kepa kwa ujinga alioufanya na wamempa shule asirudie tena. Hii incident imewafanya hata wale wachanga ndani ya Chelsea kitabia wakue. Nina Amani sasa hata mgogoro ukitokea kocha hatagomewa kwa sababu miaka yote inayoua Chelsea ni mgomo wa wachezaji. Nashukuru pia form ya Alonso naona kama imerudi japo hatuwezi pima kwa game moja
Yeah ni kweli kabisa unajua ile issue itakuwa ili leta uwoga flani iv kwa wachezaji ..sasa naona kuna strong connection kati ya Sarri na wachezaji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City

Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.

CC: Ollachuga Oc
Mkuu wewe ni wa muhimu sana katika kusherehekea ushindi wetu. Tunakuhitaji sana mwisho wa msimu huwezi jua hiyo BAN ikapelekea wewe kujitundika kwa kutokuamini kitakacho tokea.

Mimi na APPEAL hakuna kujipiga BAN ili walau tupunguze visingizio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa Msimu Msimamo utakuwa hivi:

1) Liverpool/Man City
2) Man city/Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea

Kiongozi nafasi yako ya 6 hili halina ubishi..

Hata Ollachuga Oc anajua kuwa atamaliza nafasi ya 6.
 
Hivi bado unaamini utamaliza juu ya Arsenal na Man United?
√ Arsenal ameshamalizana na Liverpool
√ Arsenal ameshamalizana na Chelsea
√ Arsenal ameshamalizana na Man City

Hapa Naona wazi kuwa Arsenal Anaingia Top 4 kwa 100%
Chelsea akiingia Top 4 najipiga Ban la Miezi 6 kwenye huu uzi.

CC: Ollachuga Oc

Sasa kuna timu tano zinagombania nafasi mbili. Nafasi ya tatu na nne ziko wazi. Sio tu kuwa juu ya Arsenal , Hata Spurs
 
Mwisho wa Msimu Msimamo utakuwa hivi:

1) Liverpool/Man City
2) Man city/Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea

Kiongozi nafasi yako ya 6 hili halina ubishi..

Hata Ollachuga Oc anajua kuwa atamaliza nafasi ya 6.
Tunahirisha kikao mpaka jumatatu ya tar 13 May 2019 tutakapokuja kupata ripoti kamili ya yatokanayo na ajenda hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom