Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Safari bado ndefu sana, hamjaenda Old Traford, hamjaenda Anfield, hamjaenda Goodison park, hamjaenda mji wa Leicester na huko kote ni vumbi tu
Safari bado ndefu sana, hamjaenda Old Traford, hamjaenda Anfield, hamjaenda Goodison park, hamjaenda mji wa Leicester na huko kote ni vumbi tu
Akikujibu unitag. #Sarriout wote wamejifichaVipi mkuu,son of Sarri alikiwepo au hakuwepo..?
Na matokeo yakoje..?
Ata Anfield tutàpaki na point tatu pia..Kazi ya ziada ndio kama mlivyo paki basi hiyo jana
Yeyote anayekatiza mbele ya Chelsea kwa sasa ana hatari..Safari bado ndefu sana, hamjaenda Old Traford, hamjaenda Anfield, hamjaenda Goodison park, hamjaenda mji wa Leicester na huko kote ni vumbi tu
chelsea ni mbovu hata kama hawakufunga ni chance ngapi tumepataVipi mkuu,son of Sarri alikiwepo au hakuwepo..?
Na matokeo yakoje..?












Achaga ushamba wewe*Mashabiki* *wa* *Chelsea* *wanatamani* *Kuongea* *kuwa* *Arsenal* *Jana* *kamfunga* *kibonde* *Goal* *5* *ila* *wanaamua* *tu* *wakae* *kimya* *wanapoona* *Haya* *Matokeo*
*Bournemouth* *4-0* *Chelsea*
*Arsenal* *5-1* *Bournemouth*
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umefumuliwaLeo mnafumuliwa fumuliwa. Cabba anatobolewa leoView attachment 1033659
Hawakua ba short ontarget ata mojaLineup ya Tottenham nimeona sura za attack kama tano hivi (Kane, Lamela, Son, Eriksen , Sissoko)
Mna kazi ya ziada kuhakikisha hawagusi nyavu zenu kwa idadi hiyo ya attackers
Chelsea pekee ndio wamebadilika motivation Zaidi na agresiceness Zaidi, Spurs wamecheza mchezo wao wa kawaida, wamepress Zaidi kama ile ya nyuma, walirecover mpira kwa nguvu walipopoteza, only defense ya Chelsea ilikuwa imara. Mpaka Alonso kacheza top kwenye form yake ya zamani. Hayo yako ya Moura na Eriksen kacheza bila motivation ni ya kwako pekeeHahhahha
Hao jamaa nahisi kuna kamgomo fulani maana mtu kama Moura namuona kabisa hachezi kwa moyo wote hali kadhalika Eriksen na Sissoko
Chelsea pekee ndio wamebadilika motivation Zaidi na agresiceness Zaidi, Spurs wamecheza mchezo wao wa kawaida, wamepress Zaidi kama ile ya nyuma, walirecover mpira kwa nguvu walipopoteza, only defense ya Chelsea ilikuwa imara. Mpaka Alonso kacheza top kwenye form yake ya zamani. Hayo yako ya Moura na Eriksen kacheza bila motivation ni ya kwako pekee
Kama Chelsea wakiendelea kucheza kama walivyocheza na Spurs na kuboresha angalau kidogo, timu pekee zitakazoambulia droo zinahesabika hazifiki 3 kati ya mechi 11 zilizobaki (kumb Chelsea wana kiporo na Brighton)
View attachment 1035273