Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha matus ww , utaishia namba 6 tuona sasa umeshaliwa kiboga, haya nenda kasafishe matter core
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha matus ww , utaishia namba 6 tuona sasa umeshaliwa kiboga, haya nenda kasafishe matter core
Hahahahaha sisi noma yetu imeishaa..ona sasa umeshaliwa kiboga, haya nenda kasafishe matter core
Nao attackers wamefunga magoli mangapi mkuu?Lineup ya Tottenham nimeona sura za attack kama tano hivi (Kane, Lamela, Son, Eriksen , Sissoko)
Mna kazi ya ziada kuhakikisha hawagusi nyavu zenu kwa idadi hiyo ya attackers
Lazima heshima ya timu ibaki. Na mm najiskia kuridhika. This will be the reference for the future.Naona Sarri ameshaanza kumshughulikia Kepa kimya kimya
Teh wanga bhana. Umekimbia na tunguli zakoLeo mnafumuliwa fumuliwa. Cabba anatobolewa leoView attachment 1033659
Zimefanya nini hizo sura.?Lineup ya Tottenham nimeona sura za attack kama tano hivi (Kane, Lamela, Son, Eriksen , Sissoko)
Mna kazi ya ziada kuhakikisha hawagusi nyavu zenu kwa idadi hiyo ya attackers
Hatunaga Hilo sisi. Chelsea haizarau kombe hata moja. Hayo Ni maneno ya mkosaji.Walivyokuwa wa ajab chelwowo watakwambia kombe lenyewe la mbuzi wakati walikuwa wamelipakia bas
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima heshima ya timu ibaki. Na mm najiskia kuridhika. This will be the reference for the future.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukipata mapumziko unakatwa na mshaharaHAhahahh
Kipa huwa haitaji mapumziko eti kucheza Jumapili na Jumatano mapumziko na mtu na tena ni kipa Khaa!
Vipi mkuu,son of Sarri alikiwepo au hakuwepo..?nimekuwa fan wa cfc mda mrefu kwenye final huwa hivyo hila utaina labda son of sarr asiwemo
Bonge la penalty, na mastaa siku zote lazima wafanye vitu vya kutushangaza kidogoPenat ya hazard nairudia mara kwa mara alipiga vizur sana
Teh.. Hoja yako iko wapi.? Sura au kupaki basiMlipaki basi, msingepaki mngeona
Penat ya hazard nairudia mara kwa mara alipiga vizur sana