Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
1,977
Likes
3,225
Points
280
Kunguru Mjanja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
1,977 3,225 280


Full name: Chelsea Football Club

Nickname(s): The Blues, The Pensioners

Founded: 10 March 1905

League: Premier League

Website: ChelseaFC.com


srty-jpg.450996

Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m


a-jpg.450991

Owner: Roman Abramovich

b-jpg.450993

Chairman: Bruce Buck

sarri-jpg.822913

Head Coach: Maurizio Sarri
Chelsea Trophies:
League Tittles: 6

Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)

European Trophies: 5
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 1 (2012/13)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 19970/71)

FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)

League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)

Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)


chelsea-jpg.794454

Chelsea Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2018)

qa-jpg.512734

Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Premier League Champions (2016/17)

chelsea-png.663322

Chelsea FC Squad (2017/18)

Follow this thread for team updates!
 
Last edited by a moderator:
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
703
Likes
787
Points
180
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
703 787 180
Hao wamejiandaa kufufuka kama MUFC ikipoteza leo, utamuona hata Ollachuga Oc akipiga chafya,mbali na hapo hutowaona humu.
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
9,275
Likes
14,414
Points
280
lukesam

lukesam

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
9,275 14,414 280
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bwana alipigwa na kitu kizito mno katika kichwa chake na kijana aliyefahamika kwa jina moja la Agüero.

Matokeo ya leo ya MUFC yanaweza kumpa ahueni au kummaliza kabisa.
 
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
4,017
Likes
3,827
Points
280
MLA PANYA SWANGA

MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2015
4,017 3,827 280
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
5,697
Likes
5,597
Points
280
Age
26
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
5,697 5,597 280
Hivi Kuna mtu anataarifa yeyote ya huyu Ollachuga Oc, maaana nivizuri kukiwa tunajuliana khari aiseeeeeeee Ni zaidi ya masaa 40 sasa hakuna dalili yoyote kama yuko salama au la....
Hata kama kapata kipigo kizoto ili hata ajingisha TU au awe Kama anajikuna hivi(akomenti hata kwa emoji) tujuwe yuko HAI.........
we are worried about him a fellow jf member......

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa yangu hakawiagi kujiteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,368
Likes
5,123
Points
280
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,368 5,123 280
Sarri apewe team na msife moyo
Klopp alifungwa na Pep wkt anajenga team yake 5-0
Kwa sasa Klopp anamburuza Pep all out-in baada ya kujenga team yake!
Man City wamefikia hatua ya kushangilia kuongoza leage wakiwa wamecheza mechi nyingi zaidi!
Sarri apewe wachezaji anao wataka ndiyo ajadiliwe
 
G

Gwayema

Member
Joined
Nov 16, 2016
Messages
51
Likes
71
Points
25
Age
49
G

Gwayema

Member
Joined Nov 16, 2016
51 71 25
Chelsea either wampe wachezaji anaowakataka ili acheze aina ya mpira anaoutaka au
Chelsea itafute kocha mwingine. Hawa tulionao hawataweza kuimprement falsafa ya Sari( pressing at high speed).

We need young players that can adapt to Sarri's way of playing.

Tatizo wachezaji wetu wanataka kocha ndo a-adapt their ways of playing kitu ambacho kwa Sari hakiwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
1,148
Likes
923
Points
280
Honestty

Honestty

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2018
1,148 923 280
Tunacheza saa 5 kamili usiku kwa majira ya East Africa. Cha muhimu ni dstv yako tuu
 

Forum statistics

Threads 1,262,453
Members 485,588
Posts 30,122,838