Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tatizo yule kocha mvuta sigara alisema atabadilisha uchezaji leo sasa kazi ipo

God is a God of hearts
Kwani leo kipa yupo?
Au kapewa red card goli limebaki wazi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Kwa mara ya kwanza natembea jukwaa hili
emoji23.png
emoji23.png

Si kwa nia mbaya!! Nasoma tu comments napitaaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
 
Nimepata taarifa kuna baadhi ya Liverpool hawatokula[emoji23][emoji23][emoji23]hivyo tupike tuu kapilao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]budget itatosha.
Huu msiba mkubwa sana

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.

Lakini wafiwa wametoweka msibani na kumuacha Maiti peke yake akiwa na waombolezaji na habari za kuaminika zinasema hawajuilikani walipo! kuna huyu msemaji wa familia Ollachuga Oc amepata mshtuko na yupo ICU sasa tumsubiri akipata fahamu atwambie muda wa kuzika [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utakula ngumi live toka nduki hapa

God is a God of hearts
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani wewe ni Chelsea au ndugu wa marehemu (Liverpool)???
Cc chaliifrancisco

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Lakini wafiwa wametoweka msibani na kumuacha Maiti peke yake akiwa na waombolezaji na habari za kuaminika zinasema hawajuilikani walipo! kuna huyu msemaji wa familia Ollachuga Oc amepata mshtuko na yupo ICU sasa tumsubiri akipata fahamu atwambie muda wa kuzika [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau walichotufanyia kwenye ule msiba uliopita wa 4G?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hashindwi kupata fahamu baada ya wiki. Maiti itatuozea ndani[emoji23][emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani wewe ni Chelsea au ndugu wa marehemu (Liverpool)???
Cc chaliifrancisco

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Mimi ni ndugu tu nimekuja kuombeleza

God is a God of hearts
 
Ule utosi uliopigwa na Aguero [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ipo siku yenu tu ipo siku ipo siku yenu tu nanyi mtabarikiwa (chelsea)7 mtabarikiwa.....mbarikiwe.....(kwa sauti ya Gozbert)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfate mshabik wa Chelsea muangalie machoni, na umuambie wewe ni MSHINDI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Niaje kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani wewe ni Chelsea au ndugu wa marehemu (Liverpool)???
Cc chaliifrancisco

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji21][emoji21][emoji21]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom