Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

AFC BOURNEMOUTH 4-CHEL
FT

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Its true maana watu wanapig kelele kante sio position yake

Pia kusajiki Higuan badala ya Pitek mwenye miaka 23 jana kawafungia goli 2 AC Milan

Chelsea tunafeli wapi??

Maana pitek alikuwa na mkataba wa hela ndogo ..35 mio USd

Tukaenda kununua Higuan ambaye hana future ndani ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kweli Chelsea tukikutana na timu yenye kasi Kante akipanda juu kusaidia mashambulizi then mpira tukapoteza Gafla ikipigwa Ndefu yule JORGINHO mzito awezi kuperfom vzr ile.namba ivyo tunafungwa kizembe zembe tu fumuza ilo.limocha yaani muda woote linachora Chora kikaratasi cha uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team yetu inakatisha tamaa kuangalia nilisema inahitaji wachezaji wengi sio higuain, kuanzia beki, midfield watatu nafasi anayocheza kante, kovasic, joginho,pia winga wa kulia kiufupi hata kocha anahitajika, lakini hata mkurugenzi wa ufundi, tunachoweza kushinda nafasi ya sita kushuka chini
Nasema hivi tatizo sio wachezaji Wachezaji anao wa kutosha una viungo kama
KOVASIC
BURKLEY
KANTE
Tatizo.mbinu za kocha mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa najiuliza sana sipati jibu toka tutoe sare na EVERTON nikagundua uyu kocha ana uzaifu mkubwa yaani ata timu ikizidiwa yeye anafanya tu Sub lakini time aibadiliki kiuchezaji wala kimfumo au yeye anawafundisha style moja tu ya uchezaji na mfumo.mmoja tu wa 4.3.3

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom