Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni bora Chelsea Tuwe na rekodi ya kufukuza makocha lakini uyu kocha afukuzwa mapema tu uwezo wake mdogo sana Naamini hata Europ Itamshinda yaani mpaka uyu mfungaji aliyemsajili atamuona Garasa kwa.mbinu zake mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
Its true maana watu wanapig kelele kante sio position yake

Pia kusajiki Higuan badala ya Pitek mwenye miaka 23 jana kawafungia goli 2 AC Milan

Chelsea tunafeli wapi??

Maana pitek alikuwa na mkataba wa hela ndogo ..35 mio USd

Tukaenda kununua Higuan ambaye hana future ndani ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team yetu inakatisha tamaa kuangalia nilisema inahitaji wachezaji wengi sio higuain, kuanzia beki, midfield watatu nafasi anayocheza kante, kovasic, joginho,pia winga wa kulia kiufupi hata kocha anahitajika, lakini hata mkurugenzi wa ufundi, tunachoweza kushinda nafasi ya sita kushuka chini
 
Its true maana watu wanapig kelele kante sio position yake

Pia kusajiki Higuan badala ya Pitek mwenye miaka 23 jana kawafungia goli 2 AC Milan

Chelsea tunafeli wapi??

Maana pitek alikuwa na mkataba wa hela ndogo ..35 mio USd

Tukaenda kununua Higuan ambaye hana future ndani ya club

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huyo piatek angekuja angeonekana galasha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom