Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kocha hausiki kwenye usajili. Yy anatoa maoni basi. Then bodi ndo inaamua. Hata Conte alikuwa anasema hvyo. Mourinho ndo alipewaga madaraka makubwa
Kwa nini Sarri anapenda kutumia hayo maneno ya "I don't know, I don't have power, It was not my decision, etc" linapokuja swala la transfer, contract extension na trades?

Naona kama ni style ya kukwepa lawama au kitu kama kulalamika indirectly.
 
Now that CHO looks to be staying till at least the summer, it’s up to Sarri, Chelsea & WE the fans to convince him this is the place for him.

If you think you’re above it, that’s a shame. You don’t have to treat him like he’s John Terry, but if you love this club, do your part.
 
Kocha hausiki kwenye usajili. Yy anatoa maoni basi. Then bodi ndo inaamua. Hata Conte alikuwa anasema hvyo. Mourinho ndo alipewaga madaraka makubwa

Ninatambua, lakini technically kocha lazima awe na opinions zake kwenye transfers na contracts.

Tafsiri ya hizo kauli inakuwa kama hana inputs kabisa kwenye usajili.
 
Kwa mm naona bora anaposema I don't know maana c vizur kuanza kulaumu kwa bodi au kutaja wachezaji wa timu nyingne unaowapenda (unprofessional) kama walivyofanya bayern kwa Odoi

Huwa nashindwa kuelewa policy za transfer za Chelsea, toka Mourinho ile first stint analetewa Sheva na akawa analazimishwa kumchezesha, then usajili wa Torres, Conte kalalamika sana, naona Sarri naye anafata nyayo.

Nahisi kama kuna disconnection kati ya kocha na chombo kinachohusika na usajili.
 
Mfano: Conte alitoa maoni ya wachezaji kama Vidal au Naingolan halafu Bodi ikamletea Drinkwater. Hapo ameshriki? Bodi ndo waamuzi
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?
 
[Chelsea in February 2019]
.
Carabao Cup Final vs Man City
PL games against Man City and Tottenham
FA Cup 5th Round vs Man United
Europa League Round of 32 vs Malmao
.
[This is going to be a tough month for Chelsea!]
 
Nilikuwa natafuta Sera ya Club kuhusu usajili nmekosa. Ila ujue imebadilika. Makocha hawana ile nguvu kama Mourinho. Philosophy at the club is clearly changing. Hata Sera kwa Youngsters kama kina Odoi zmebadlka
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?
 
Hukumbuki kipind Alonso kaumia halafu Emerson kasajiliwa karibuni. Reporter wanamuuliza Conte kama Emerson ataanza. Na akasema hamtambui huyo mchezaji. Yeye alikuwa anamtaka Sandro wa Juve. Kabla hata ya ishu ya Costa
Bodi na conte walikuwa na mgogoro kisa costa alihujumiwa kocha akitaka chaguo la kwanza akikosa anaomba la pili ila sio umchagulie unaujua mfumo anaotumia hadi umpe mchezaj sio chaguo lake?
 
Piatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kocha alikua anamuhitaji zaidi Higuain mkuu, bora apewe chaguo lake asije akapata kisingizio baadae. Kuhusu huyo dogo kwenda PSG naona kulikua na competition na PSG ndio walioshinda
 
Baba Rahman has completed his loan move to @StadeDeReims till the end of the season. Confirmation coming very soon #LoanWatch
 
My team for tomorrow’s game : Kepa, Azpi, Rudi, Luiz, Emerson, Kante, Jorginho, RLC, CHO, Higuain, Hazard
 
Ni ngumu sana kumnunua mchezaji aliyehit msimu mmoja. Kwa mfano Belloti wa Torino tulikuwa tunamtaka kipind cha conte. Sasa hv nan anamsikia tena?
Piatek hatar sjui kwnn chelsea hatukmnnua hyu jamaa bado kjana na n mzur kiungo tena wa argentina nae kaend psg duuuuh hii bodi chenga kwel unampaje majukum ya ksajili mwanamke ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Higuain, Jorginho wote ni machaguo yake
Kocha alikua anamuhitaji zaidi Higuain mkuu, bora apewe chaguo lake asije akapata kisingizio baadae. Kuhusu huyo dogo kwenda PSG naona kulikua na competition na PSG ndio walioshinda
 
Tiemoue Bakayoko v Napoli

89% Pass accuracy
1/1 Long ball
1/3 Shots
3/3 Dribbles
2 Dribbled past
10/14 Duels
2/2 Tackles
3 Interceptions
3 Clearances
4 Was fouled
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom